huuuuuuhhh......msaada tafadhali....!!!

huuuuuuhhh......msaada tafadhali....!!!

Aidan85

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa std)...nikajitbia na ni zaidi ya mwezi mmoja unusu sijsshiriki na mtu yeyeto tena...ila cha kushangaza ule ugonjwa umerudi tena....plz msaada wa kitaalam jaman!
 
Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa)...nikajitbia na ni zaidi ya mwezi mmoja unusu sijsshiriki na mtu yeyeto tena...ila cha kushangaza ule ugonjwa umerudi tena....plz msaada wa kitaalam jaman!
Pole kwa hayo maradhi yaliyokupata ingawa hujasema ni maradhi gani?au ndio hayo maradhi ya maji ya moto? Unaona aibu hata kusema kuwa umepatwa na maradhi ya Gono au Kaswende au maradhi gani ya zinaa? Waswahili husema kila mficha utupu huwa hawezi kuzaa nenda Hospitali ukajitibie hapa hakuna dawa zaidi ya ushauri mkuu asante.
 
Mzizi Kanena vyema nenda Hospitali.Ukiishapona usitende dhambi tena.

Mungu akuponye nawe usiache kumtumikia.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa std)...nikajitbia na ni zaidi ya mwezi mmoja unusu sijsshiriki na mtu yeyeto tena...ila cha kushangaza ule ugonjwa umerudi tena....plz msaada wa kitaalam jaman!
  • Hapo kwenye red
  • Je ulikwenda hospitali au dawa ulijitafutia mtaani kwenye maduka ya dawa?.
  • Kama ulienda hospitalini ni vyema ukarudi kwa daktari yuyule na kumweleza akubadilishie dawa.
  • Pia ni vyema ukapima na kufahamu ni ugonjwa gani unoautibu, ili upate dawa sahihi.
Pole sana. Jitulize au tumia kinga, usiwe unatathimini afya ya mtu kwa macho.
 
Nenda hospitali, Acha kununua dawa za madukani. Utapona na kurudia hali yako ya kawaida ila uache uzembe....unagonga nje kavukavu.....huogopi ngoma? Mrudie mungu wako
 
Pole kijana, watoto wa mjini wanasema "uliuza mechi"
 
Pole sana,uwe makini sana na matibabu
 
Back
Top Bottom