Kuna kipindi walikuwa wanawagawia watoto wa shule kitabu kama hiki, kwamba usijisikie vibaya ukipata hisia na mwanaume mwenzio ni kawaida kabisa.. hii ni hatari!Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one.
Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi kuleta picha yoyote tofauti.
Mi niiwahi kumkubali public figure fulaini, vile tu anavyoongea basi, ila kadri nilivyokua nikimsikiliza aadae nikawa naona kawaida tu. waongo watabisha.
Mbona mimi namkubali Arnold Schwarzenegger kiasi kwamba kuna kipindi nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa nafuatilia maisha yake ya miaka ya 70, 80, akiwa Professional Bodybuilder kabla hajazama sana kwenye Uigizaji wa filamu za Kivita, nilikuwa namfahamu toka kitambo toka nikiwa mtoto mdogo lakini kumfuatilia kindakindaki nilianza nikiwa chuo kikuu FIRST YEAR na nilikuwa sifichi, nilikuwa nampostiposti WHATSAPP STATUS mpaka baadhi ya watu wakaanza kuniita jina la utani la "BABA JANE" na huyu mwamba ndiyo alikuwa anani-inspire sana hata kuanza kujenga mwili nikiwa chuo FIRST YEAR. Yani nilikuwa namkubali hatari, muonekaano wake wa kibabe afu handsome na pigo zake kama kutoongea sana vitendo zaidi yani hizo pigo zake zinafanya nimkubali Arnold Schwarzenegger mpaka kesho. Huo ni mfano wa kwanza.Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one.
Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi kuleta picha yoyote tofauti.
Mi niiwahi kumkubali public figure fulaini, vile tu anavyoongea basi, ila kadri nilivyokua nikimsikiliza aadae nikawa naona kawaida tu. waongo watabisha.