Mbona mimi namkubali Arnold Schwarzenegger kiasi kwamba kuna kipindi nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa nafuatilia maisha yake ya miaka ya 70, 80, akiwa Professional Bodybuilder kabla hajazama sana kwenye Uigizaji wa filamu za Kivita, nilikuwa namfahamu toka kitambo toka nikiwa mtoto mdogo lakini kumfuatilia kindakindaki nilianza nikiwa chuo kikuu FIRST YEAR na nilikuwa sifichi, nilikuwa nampostiposti WHATSAPP STATUS mpaka baadhi ya watu wakaanza kuniita jina la utani la "BABA JANE" na huyu mwamba ndiyo alikuwa anani-inspire sana hata kuanza kujenga mwili nikiwa chuo FIRST YEAR. Yani nilikuwa namkubali hatari, muonekaano wake wa kibabe afu handsome na pigo zake kama kutoongea sana vitendo zaidi yani hizo pigo zake zinafanya nimkubali Arnold Schwarzenegger mpaka kesho. Huo ni mfano wa kwanza.
Mfano wa pili, kuna Mtangazaji wa Radio Free Africa (RFA) miaka ya 2016 alikuwa anajiita MBURU ZE BOSS sijui bado yupo hai au la maana tangu niende ADVANCE niliachaga kufuatilia vipindi vyake kutokana na ubize na shule. Sasa huyu MBURU ZE BOSS nilikuwa namkubali kinoma yani jinsi anavyoongea yani nilikuwa namkubali hatari, ile ongea yake tu ya kishikaji afu na sauti yake ile nilikuwa napenda sana kumsikia akiongea. Nilikuwa napenda kipindi chake cha Ijumaa saa nne usiku mbaka sita usiku nadhani japo pia alikuwa na vipindi vingine siku zingine.
Ko nakubaliana na wewe, naunga mkono hoja, mwanaume kumkubali mwanaume mwenzako ipo wala sio kesi.
Yani hicho ni kitu cha kawaida kabisa. Wanaoona ni kitu cha ajabu wana mitazamo hasi tu! Kumkubali mwanaume mwenzako sio dhambi wala sio kesi.
Shozniga kumtamani we mtoto wa kiume kweli kivipi?
Unaangalia movie unarudi kwenu.
Unaanzaje kumtamani mwanaume wenzio,
Wenzio tumekula mtaani ni ngumi, mawe, visu ikiwezekana chochote kilichopo karibu unatumia.
Ila sio kushikwa tako, kupapaswa.
Nimekuja kuona hayo mambo badae sana Migo hapo.
Badae sana kuna punga moja huko tulihamia ilikua linajulikana sana.
Tulijikuta tuna ukaribu tu, Kwa sababu wote watu wa mishe na kitaa hana marafiki.
Nisiseme uongo jamaa hakunam bia chochote.
Ila ilikua kila weekend ratiba anazo.
Na hela sio Swala la kumuuliza, mi niko chuo hapo sina kitu.
Billz enzi hizo, Tazara yaani mpaka kunakucha.
Kumbe jamaa ana basha wake.
Mi sijui chochote.
Ila kuna siku alilewa Billz wakaondoka na yule basha ndo nikaanza kuona mapicha picha.
Kumbe mtaani raia tayari wanasema unamtafuna.
Nilikua sina mazoea na watu mtaani,
mboko nilitafuna vidosho mtaa mzima.
Dah kuna siku msibani mlevi mmoja akanichana live "we Acha Kumla fulani"
Mi nikabaki kwani analiwa?
Kuunga matukio, nikakata mawasiliano.
Nilimkuta badae sana yuko na Muitaliano kapakatwa kabisa.
Nikachoka.
Kiufupi yule mzanzibara alikua shoga,
na alikua na connection ya wenye mawe.
Alikua hotell airport, na GM muhindi/mwarabu ndio basha wake.
Alikua kwao, ila anaishi poshy life sana.
Miaka hiyo hawa "nitumie nauli na ya kutolea hawakuwepo"
Tulikua tunakula mbususu bure tu
Kwao, kwenu, machakani ni kubagazana tu.
Hata UTI,Gono hamna.