Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

Mkuu umenifokeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwambie mimi sili. Nikikuona tu nishashiba.
 
Ulikuwa unanyimwa chakula na mama yako? Au huyo tumtoe kwenye kundi la wanawake
Nilijua kuna jinga litakuja hapa kujibu Well

Mama yako atakupa msosi mwanaye na mwengine ambaye sio wake anamnyima kama ambavyo wewe mchoyo najua vizuri sana mnafanya hivyo hivyo

Na ukome kumtaja mama yangu wewe kigagula
 
Roho za ubinafsi katika.mahusino.zinaumiza sana ,mimi ninae mbinfasi sana anaweza park.gari.akamunua muhindi 1 wa.kuchoma akarudi ndani ya gari akala mpaka.akamaliza huku anakupigisha story, wakati mwenzie namletea vijizawadi yeye hiyo hana. Ikafika stage simletei hizi tabia ,zinapoteza hata upendo
 
Kuna wakati mtoto tumboni anamuathiri mama yake kitabia ili awe wa kujiangalia zaidi mahitaji yake (na ya mtoto automatically) for the proliferation and survival of our species , it is a hormone thing sometimes
Mechanism yake ipoje hii,
Mama ,mtoto tumboni & tabia ya mama mwenye mtoto tumboni
 
Wanawake llinapokuja swala la chakula wanachanganikiwa Sana hasa Africa women , waroho sana na wachoyo Sana na ikiwa katika broke family ndo hatari
 
Nilijua kuna jinga litakuja hapa kujibu Well

Mama yako atakupa msosi mwanaye na mwengine ambaye sio wake anamnyima kama ambavyo wewe mchoyo najua vizuri sana mnafanya hivyo hivyo

Na ukome kumtaja mama yangu wewe kigagula
Kwani mama yako ni jinsia gani we ndugu? Atatajwa tu mana hapa tunawaongelea wa mama. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… pole sana
 
Kuna dada mmoja rafiki yangu huwa anatualikaga kwake kula. Tatizo mdogo wake kekuu ni mchoyo Sana

Anapakua nyama chache anatuletea, wakati minyama kibao ipo.

Kekuu popote ulipo acha uchoyo pakua minyama hiyo watu wale hujachinjwa wewe
Kwahiyo wewe ukienda kwa watu unachungulia mafuriani? Kwanini usiridhike na kile ulicholetewa mezani?

Je nawewe huwa unawaalika wenzio? Ila nimeuliza tu!
 
M
Mechanism yake ipoje hii,
Mama ,mtoto tumboni & tabia ya mama mwenye mtoto tumboni
Mechanism bado inahitaji utafiti. Ila kusudi ndio hilo. Aangalie mahitaji ya wote wawili tena wakati mwingine bila kujali matakwa ya watu wengine ikiwamo hata mmewe so etimes
 
Ukiskia kila mtu ana mapungufu, inamaanisha mpenzi wako mapungufu yake ndo hayo.

So jipange kuishi nae hivo hivo
 
M

Mechanism bado inahitaji utafiti. Ila kusudi ndio hilo. Aangalie mahitaji ya wote wawili tena wakati mwingine bila kujali matakwa ya watu wengine ikiwamo hata mmewe so etimes
You mean is it hypothesis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…