Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mimi huwa mtu akiniuliza hivyo nampa za uso hapo hapo.Sahihi
Chakula sio kitu ya kumnyima mtu tena mgeni wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa mtu akiniuliza hivyo nampa za uso hapo hapo.Sahihi
Mkuu umenifokea😂😂😂Huyo ukimuoa ukiacha hela ndani atazichukua alafu atakuuliza kwani ulikuwa unazitaka?
Utanunua gari yeye atakuliiza kwani na wewe unataka kuendesha?
Mkijenga nyuma atakuuliza kwani kuna ulazima na wewe kuishi humu?
Jiandae kutangulizwa mkifanikiwa
Il na wewe hizo tabia ulikiwa unajizua kabla hujampa mimba, kwanini ulimpa mimba, au ndio ulifurahia shoo na k kubana, ukasahau kama kuna maisha baada ya sex
kwanimi humwambii hiyo sitabia sio tu huipendi, pia huitaki! Au unamwogopa?
Sio baadae unatujazia mada za kuja kujaza server ukilalamika, chukua hatua
Wewe ni dhaifu sana
Mwambie mimi sili. Nikikuona tu nishashiba.Habari..
Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana.
Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja, lakini ikifika muda wa kula unashangaa anakuuliza "Nawewe unakula?", au "Nikupe na wewe?" Maswali kama haya huwa yananikata sana. Naweza nikaenda kwake labda jioni nikakaa hadi usiku. Hata kama Sina ratiba ya kulala kwake, anaweza akawa anapika chakula anakuuliza "nawewe unakula?"
Juzi usiku nikiwa kwake, alikuja rafiki yake kumtembelea. Nilimpa pesa akahemee apike chakula, nikamuagiza anunue na Bites ili walau tutafune akiwa anarekebisha chakula. Karudi kauliza swali hilohilo, "Nawewe Nikupe"? Nikasema hapana. Ikabidi rafiki yake amchane aache maswali ya namna hiyo Kwa kuwa yanaashiria Uchoyo, it's better umpe mtu, kama hayuko interested atakwambia. Nikapotezea tu as if sikusikia maongezi yao.
Katika tabia sivutiwi nazo ni hii, sio kwangu tu, nimenotice sehemu tofauti akiionyesha. Naombeni mawazo yenu ya kibusara nimsaidie ajirekebishe aache huu upuuzi
Ulikuwa unanyimwa chakula na mama yako? Au huyo tumtoe kwenye kundi la wanawakeWanawake ni wachoyo wa chakula..!
Nilijua kuna jinga litakuja hapa kujibu WellUlikuwa unanyimwa chakula na mama yako? Au huyo tumtoe kwenye kundi la wanawake
Mechanism yake ipoje hii,Kuna wakati mtoto tumboni anamuathiri mama yake kitabia ili awe wa kujiangalia zaidi mahitaji yake (na ya mtoto automatically) for the proliferation and survival of our species , it is a hormone thing sometimes
Wewe ni Mwanamke au Msichana au Mvulana au Mwanaume.Na wanaume wanongoza kwa ubinafsi.sana
Kwani mama yako ni jinsia gani we ndugu? Atatajwa tu mana hapa tunawaongelea wa mama. 😅😅😅 pole sanaNilijua kuna jinga litakuja hapa kujibu Well
Mama yako atakupa msosi mwanaye na mwengine ambaye sio wake anamnyima kama ambavyo wewe mchoyo najua vizuri sana mnafanya hivyo hivyo
Na ukome kumtaja mama yangu wewe kigagula
Kwahiyo wewe ukienda kwa watu unachungulia mafuriani? Kwanini usiridhike na kile ulicholetewa mezani?Kuna dada mmoja rafiki yangu huwa anatualikaga kwake kula. Tatizo mdogo wake kekuu ni mchoyo Sana
Anapakua nyama chache anatuletea, wakati minyama kibao ipo.
Kekuu popote ulipo acha uchoyo pakua minyama hiyo watu wale hujachinjwa wewe
Mechanism bado inahitaji utafiti. Ila kusudi ndio hilo. Aangalie mahitaji ya wote wawili tena wakati mwingine bila kujali matakwa ya watu wengine ikiwamo hata mmewe so etimesMechanism yake ipoje hii,
Mama ,mtoto tumboni & tabia ya mama mwenye mtoto tumboni
You mean is it hypothesisM
Mechanism bado inahitaji utafiti. Ila kusudi ndio hilo. Aangalie mahitaji ya wote wawili tena wakati mwingine bila kujali matakwa ya watu wengine ikiwamo hata mmewe so etimes
Yes it isYou mean is it hypothesis