HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

Pagani Zonda

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
685
Reaction score
468
Habarini za mchana wapwa?

Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji hivohivo au anaacha uchafu uendelee kuwepo sehemu za siri? nasema kunawa mara kwa mara kunasababisha uke uwe mkavu baada ya hapo unaweza kuchubuka. Na je kama mnajifuta tu, huwa mnatumia taulo moja wewe na Mwanaume/ mwanamke wako kila baada ya bao? (Mimi ni Mwanamke)

ANGALIZO: Mje taratibu jamani msitoe maneno ya kukera, tunafundishana tu ili kuepuka magonjwa ya uzazi. Ndiyo maana nmeongelea kuhusu usafi baada ya tendo.
 
Haya mambo hujafundwa kwenu na shangazi zako unataka wanaume tukufunde?
 
Tuanze na wewe huwa unafanyaje ukisha mwagiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…