HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

Sijafundwa. Alafu kwani humu kuna wanaume tu?
Karibu tujaribu kisha tuone baada ya kumaliza tutafanyaje?
Ila mi ninachojua usafi hufanyika baada ya kazi show hazikatishwi katishwi...ukianza bao la kwanza unaunga mpk la 2 ama 3 kutegemeana na muda na afya zenu na mmeamua kuishia mangapi.
Kazi ikiisha ni kufuta kwa soft tissue kwanza..Mwanamke anatakiwa awe na vitaulo vyepesi karibu hiyo ni maalum kwa kazi hiyo.
Ngoja niishie hapa,kuna watoto watakuja kusoma hapa ikiwa umri wao bado.
 
Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji hivohivo au anaacha shaha*a ziendelee kuwepo kwenye papuchi hadi pale utakapo maliza? Maana kuna sehemu nmesoma wanasema kunawa mara kwa mara kunasababisha uke uwe mkavu baada ya hapo unaweza kuchubuka. Na je kama mnajifuta tu, huwa mnatumia taulo moja wewe na Mwanaume/mwanamke wako kila baada ya bao? (MZINGATIE MIMI NI KE).

ANGALIZO: Mje taratibu jamani msitoe mane no ya kukera, tunafundishana tu ili kuepuka magonjwa ya uzazi. Ndiyo maana nmeongelea kuhusu usafi baada ya tendo.
Khaaa! Dada na jua lote hili ngoja weekend
 
Nameuliza kwasababu magonjwa mengi yanayokana na kutojosafisha, na penyewe ukijisafisha sana nmeona mahali wanasema uke unakuwa mkavu sasa hii imekaaje?
 
Alafu kuna hii shida ya mshipa wa ngiri nayo nasikia inatoka na watu kutojisafisha vizuri sehemu zao
 
Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji hivohivo au anaacha shaha*a ziendelee kuwepo kwenye papuchi hadi pale utakapo maliza? Maana kuna sehemu nmesoma wanasema kunawa mara kwa mara kunasababisha uke uwe mkavu baada ya hapo unaweza kuchubuka. Na je kama mnajifuta tu, huwa mnatumia taulo moja wewe na Mwanaume/mwanamke wako kila baada ya bao? (MZINGATIE MIMI NI KE).

ANGALIZO: Mje taratibu jamani msitoe mane no ya kukera, tunafundishana tu ili kuepuka magonjwa ya uzazi. Ndiyo maana nmeongelea kuhusu usafi baada ya tendo.
Ebu njoo PM nikueleleze ili utangulie...😋
 
Ila nasikia kuna wadada ni wasafi, yaani wao wakimaliza kuna namna wanafanya wao na kuwafanyia mwanaume wao duuh najiuliza huwa wanafanya nini???
 
Nameuliza kwasababu magonjwa mengi yanayokana na kutojosafisha, na penyewe ukijisafisha sana nmeona mahali wanasema uke unakuwa mkavu sasa hii imekaaje?
Nimesema tumia soft tissue (towel) laini unafuta uteute majimaji na jasho kwa kutumia hiyo taulo unaloweka kwenye maji na kufuta kama unamwogesha mgonjwa kitandani. Usilale na shahawa ama majimaji ya ukeni kwanza inaleta miwasho
 
Back
Top Bottom