HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

Nimesema tumia soft tissue (towel) laini unafuta uteute majimaji na jasho kwa kutumia hiyo taulo unaloweka kwenye maji na kufuta kama unamwogesha mgonjwa kitandani. Usilale na shahawa ama majimaji ya ukeni kwanza inaleta miwasho
Thank you. Hapo hapo kwenye miwasho. Unakuta mtu baada ya hiko kitendo anawashwaa mara anaanza kutokwa uchafu baadaye anaanza kunuka.. yaani ni kama kadeposit vitu huko ndani sasa vimedecompose😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom