HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

Wengine kama mimi nakurabua 3 za kuunga nisha tukimaliza kira mtu na njia zake.........ukitaka kunawa sawa kuoga sawa kuzimia baada ya kipute sawa wewe tu na roho yako........sijui umenipata???
 
Mwingine unakuta baada ya kufanya anatafuta li shirt somewhere either chafu ama safi alafu anafuta mwaaaaa. Akimaliza hapo anampea na mwanamke naye mwaaaaaa duuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…