Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bhana. Jana nimeliangusha bilaHali kama hii huwa inanitokea pale ninaporukia kitanda bila kusali.
Ukikutana na hali hiyo just muite Yesu akusaidie
Ita jina la Yesu. Ni jina lenye nguvu mno, ita tu, ita moyoni, mchawi atakuachiaMkuu ngeta nimewalia nini
Bujibuji Simba Nyamaume bro niambie hapa niwage kwa kutumia nini
Mshana Jr bro GoldenRatio amesema leo wanga wamekuja kuniweka kabali. Naomba niambie chakuwafanya nilipe
😂😂😂🙌Hali iyo huwa inanitokea sana na swala la maombi nimefanya sana haikusaidia lolote.
Ila nikinywa pombe na nikaingia kulala icho ki2 huwa hakinitokea hata mala 1.
😂😂😂😂😝Aminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.
Ha ha ha sema kulalia tumbo uwongo chief, wajw wanipasue spika, ubavu ubavu si nitaamka na ganzi kwenye mkono
Bwana we
Huwenda ndio solution et
Uko sahihi,ukiwa muombaji mzuri huwezi kupata hiyo kituAminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.
yani ikinitokea nataja jina la Yesuu kama mwehuuuu mara paaap inaachia noma snaUko sahihi,ukiwa muombaji mzuri huwezi kupata hiyo kitu
Sleeping paralysis kasome uelewe wala hakuna anayekuroga...acha kuropokaKuna MTU atakuja na sayansi nyingi hapa, lakini nakwambia Mkuu.... huko ndio kukabwa. Jifunze kufanya maombi... halafu muda huu ndio wenyewe em piga goti kemea hizo nguvu za Giza za kichawi na mapepo... in the name of Jesus!!!
Acha siasa...mimi nimeokoka na nina fanya maombi vizuri ila nina hali ya sleeping paralysis hasa nikilala flat bila mto,,,,na wala sio uchawi inanitokea muda wowote mahali popote hadi nimeweza kuicontrol nowHao ni wachawi mpendwa! Mwamini Yesu na uokoke kabisa! Vinginevyo wewe utakuwa mtumwa wa wachawi
2 Wakorintho 10:3
Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;
2 Wakorintho 10:4
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome😉
2 Wakorintho 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;
Naomba mpeleke hospital mkeo,acha kusema huna hela kijana jeuri😂😝Sleeping paralysis kasome uelewe wala hakuna anayekuroga...acha kuropoka
Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).
Siko usingizini kiuhalisia najaribu kutoa sauti haitoki, nyanyua mkono wapi haunyanyuki. Yaani mwili wote uko disabled kasoro moyo na akili ndio vinafanya kazi.
Hivi ninyi huwa mnafanyaje kupambana na haya ma night mare, wengine huita majinamizi; na yanasababishwa na nini (sababu za hii hali)?
Huwezi kulipiza kisasi, sikiliza hiyo audio clipMkuu ngeta nimewalia nini
Bujibuji Simba Nyamaume bro niambie hapa niwage kwa kutumia nini
Mshana Jr bro GoldenRatio amesema leo wanga wamekuja kuniweka kabali. Naomba niambie chakuwafanya nilipe
Jina la Yesu ni kinga na tiba
Ili swala huwa linanitokea sana na kati ya vitu vnavyonitesa chakwanza ni hiki..Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).
Siko usingizini kiuhalisia najaribu kutoa sauti haitoki, nyanyua mkono wapi haunyanyuki. Yaani mwili wote uko disabled kasoro moyo na akili ndio vinafanya kazi.
Hivi ninyi huwa mnafanyaje kupambana na haya ma night mare, wengine huita majinamizi; na yanasababishwa na nini (sababu za hii hali)?
Mimi iyo hali ilikuwa inanitesa sana toka nimebadilisha muelekeo wa kulala saizi Mambo ni Safi kabisa nakushauri change upande wa kulala.Ili swala huwa linanitokea sana na kati ya vitu vnavyonitesa chakwanza ni hiki..
Wakati mwingini huwa naamini kabisa naweza nikafia usingizini..
Na kwakuwa iki kitu ndicho kinachonitesa ivyo ilinilazimu niangaike nalo sana ili kuweza kujinasua.
Ila mpaka sasa cjapata suluisho ila tu nikwamba haijawai tokea nimekunywa pombe alafu huu upuuzi ukanitokea..
Nikinywa pombe nakuwa nipo salama 100%..
Ila maombi na v2 vingine vyote havijawai kunisaidia ni pombe penkee ndo imekuwa msada wangu...