Hilo hutokea sana.Hello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Jaribu mara moja tu....it's harmless and fun[emoji28]umenichoka kiasi hicho
Ngoja nimwite Nyani Ngabu anipunguzie ya kwakeJaribu mara moja tu....it's harmless and fun
Hello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Shemeji anafeli wapiHello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Basi tafuta rafiki wa kiume hapo mwambie nimeboreka....utapata mwaliko fastaBado hajazaliwa
Nakazia hapa maana umeniwaiBasi tafuta rafiki wa kiume hapo mwambie nimeboreka....utapata mwaliko fasta