Huwa mnafanyaje?

Huwa mnafanyaje?

Agiza wine ya baridi kunywa taratibu huku ukiperuzi JF, Washa Tv ila usiiangalie. Ukimaliza wine glass mbili utakuwa imesikia njaa agiza nyama choma piga, endelea kuperuzi hadi upitiwe na usingizi.
Senkyuuu for this
 
Agiza wine ya baridi kunywa taratibu huku ukiperuzi JF, Washa Tv ila usiiangalie. Ukimaliza wine glass mbili utakuwa imesikia njaa agiza nyama choma piga, endelea kuperuzi hadi upitiwe na usingizi.
Wee hujasoma btwin the lines....mwenzio anataka atolewe outing na kuoelekewa moto🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Pole sana , ni hali nilio nayo hata mimi muda huu, siku inakua nzito sio kidogo.

Usihofu itapita tu
 
Back
Top Bottom