Huwa mnafanyaje?

Huwa mnafanyaje?

Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Usiogope Hapo ubongo unajiweka kwenye factory setting kwa ajili ya kuanza week mpya.
 
Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Hebu nitafute Kule prime minister kumbe upo??

Kinachokusumbua ni upweke
 
Back
Top Bottom