Huwa mnafanyaje?

Tafuta rilafik rako laiume unaroo ongeaga naro maujinga ojinga lipigie simu liambie umeboreka likutukaneeeee baadae mtaanza kucheka na siku yako itakuwa njema.
Laiti ningekumbuka mapema hii[emoji23][emoji23]
Nyani Ngabu njoo
 
Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?

Ndio uanadamu huo...

Kuna muda unakuwa na furaha, na muda mwingine huzuni...

Hivyo, hivyo fuatisha vile mwili na akili vinataka kwa sasa, kama wajisikia kuwa ndani basi na ukae ndani...
 
Ndio uanadamu huo...

Kuna muda unakuwa na furaha, na muda mwingine huzuni...

Hivyo, hivyo fuatisha vile mwili na akili vinataka kwa sasa, kama wajisikia kuwa ndani basi na ukae ndani...
Nafurahi kukuona hapa ewe dakitare [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…