DuuuhMkuu wewe ni mchanga Sana kwenye kazi za kibongo,kuna watu wanalipwa 200k na mtu ana biashara na nyumba kali
Kuna mtu analipwa 200k lakini daily ana uhakika wa kutengeneza 50k Hadi 100k ,yaani Kwa mwezi anaweza kutengeneza million mbili.
Waulizeni vizuri 🤣Wapi huko moro wanafuga nguruwe
Waulize vizuri rafiki zako waajiriwa..Micro finance zinawadai kama vibaka
Hoja Yako Ina mashiko ila namna ulivyoiwasilisha unaonekana kama kijana mdogo ambaye Bado hata majukumu hunaHapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi
Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na sare zako au na kalamu mfuko wa shati,
Hizi ni akili au matope
Wengi wanataka job security yaani ule uhakika kuwa Utaipata hiyo pesa
Harakati za kufanya mjini na vijijini ni nyingi mno na kupata zaidi ya hicho kiduchu unachopata
Acheni huo utumwa wa hiari acheni kazi mje mtaani tupambane hadi serikali iamue kuongeza maslahi ya kuwapa heshima watumishi wa umma
Wabunge, mawaziri wao wanalipana mamilion Kwa vikao vya kupiga makofi meza, nyie mpo mnalipwa pesa nyanya
Tuambizane ukweli huwezi ukalipwa hako ka pesa
Ukasomesha watoto shule Bora
Ukatibiwa hospital nzuri
Huwezi kufanya utalii hata Mikumi
Huwezi kumiliki hata ICT
Utaishi Kwa mikopo na msongo wa mawazo
Kinachotakiwa ni post na check namba tu, watu wanafursa nyingi wakiwa kazini, hao unaowaonea huruma wengi wana maisha mazuri kuliko unavyofikiria.Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi
Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na sare zako au na kalamu mfuko wa shati,
Hizi ni akili au matope
Wengi wanataka job security yaani ule uhakika kuwa Utaipata hiyo pesa
Harakati za kufanya mjini na vijijini ni nyingi mno na kupata zaidi ya hicho kiduchu unachopata
Acheni huo utumwa wa hiari acheni kazi mje mtaani tupambane hadi serikali iamue kuongeza maslahi ya kuwapa heshima watumishi wa umma
Wabunge, mawaziri wao wanalipana mamilion Kwa vikao vya kupiga makofi meza, nyie mpo mnalipwa pesa nyanya
Tuambizane ukweli huwezi ukalipwa hako ka pesa
Ukasomesha watoto shule Bora
Ukatibiwa hospital nzuri
Huwezi kufanya utalii hata Mikumi
Huwezi kumiliki hata ICT
Utaishi Kwa mikopo na msongo wa mawazo
Hivi unadhani mshahara wa million 2 au hata million 5 ni mkubwa eeh, kuna siku nlipiga hesabu mwanaume ukilipwa huo mshahara bado kuna namna uta-struggle kipesa hasa kama una majukumu k.vHapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Tumieni akili zaidi ya asilimia 50 ya wafanyakazi wa serikali awastahili kulipwa hata laki moja kwa mwezi maana ni wafanyakazi mizigo (wapumbavu)Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi
Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na sare zako au na kalamu mfuko wa shati,
Hizi ni akili au matope
Wengi wanataka job security yaani ule uhakika kuwa Utaipata hiyo pesa
Harakati za kufanya mjini na vijijini ni nyingi mno na kupata zaidi ya hicho kiduchu unachopata
Acheni huo utumwa wa hiari acheni kazi mje mtaani tupambane hadi serikali iamue kuongeza maslahi ya kuwapa heshima watumishi wa umma
Wabunge, mawaziri wao wanalipana mamilion Kwa vikao vya kupiga makofi meza, nyie mpo mnalipwa pesa nyanya
Tuambizane ukweli huwezi ukalipwa hako ka pesa
Ukasomesha watoto shule Bora
Ukatibiwa hospital nzuri
Huwezi kufanya utalii hata Mikumi
Huwezi kumiliki hata ICT
Utaishi Kwa mikopo na msongo wa mawazo
TrafficMkuu wewe ni mchanga Sana kwenye kazi za kibongo,kuna watu wanalipwa 200k na mtu ana biashara na nyumba kali
Kuna mtu analipwa 200k lakini daily ana uhakika wa kutengeneza 50k Hadi 100k ,yaani Kwa mwezi anaweza kutengeneza million mbili.
dah na ukoo wake wote unamtegemea yeyeUongo huo
Ulipwe laki 9 utajenga vip hekalu la miliion 200
Labda kibanda
Mil5 kwa mwezi mshahara mkubwa sana jamani achine story.Hivi unadhani mshahara wa million 2 au hata million 5 ni mkubwa eeh, kuna siku nlipiga hesabu mwanaume ukilipwa huo mshahara bado kuna namna uta-struggle kipesa hasa kama una majukumu k.v
1)utataka watoto waende st kunani
2) nyumba kali ya ujanani ya kuishi, so unakuta kuna mda zaidi ya 60 percent ya salary inaenda kwenye ujenz, hata ukikaribia kustaafu utataka ujenge tena nyumba kali ya uzeeni
3) Kununua magari 2 ya kutembelea (hapa probably utakopa) Mafuta na service ya magari mawili lako na la mkeo, assuming wife ni mama wa nyumbani
4)Msaada kwa Ndugu wako + ndugu wa mkeo
5)Lazma u-set kipato cha akiba ambacho kitakupa mtaji mkubwa wa kuanza biashara kubwa itakayokupa lifestyle unayoishi kipindi una Ajira, hapa point no. 5 ndo kipengele ndo maana wengi wenye mishahara mikubwa wakistaafu wanaanza kuishi maisha magumu mara madeni, mara biashara zifeli, mara waanze uza v8 zao, n.k ngara23
Ukiishi hivyo hata milion 100 utaiona ndogoHivi unadhani mshahara wa million 2 au hata million 5 ni mkubwa eeh, kuna siku nlipiga hesabu mwanaume ukilipwa huo mshahara bado kuna namna uta-struggle kipesa hasa kama una majukumu k.v
1)utataka watoto waende st kunani
2) nyumba kali ya ujanani ya kuishi, so unakuta kuna mda zaidi ya 60 percent ya salary inaenda kwenye ujenz, hata ukikaribia kustaafu utataka ujenge tena nyumba kali ya uzeeni
3) Kununua magari 2 ya kutembelea (hapa probably utakopa) Mafuta na service ya magari mawili lako na la mkeo, assuming wife ni mama wa nyumbani
4)Msaada kwa Ndugu wako + ndugu wa mkeo
5)Lazma u-set kipato cha akiba ambacho kitakupa mtaji mkubwa wa kuanza biashara kubwa itakayokupa lifestyle unayoishi kipindi una Ajira, hapa point no. 5 ndo kipengele ndo maana wengi wenye mishahara mikubwa wakistaafu wanaanza kuishi maisha magumu mara madeni, mara biashara zifeli, mara waanze uza v8 zao, n.k ngara23
.. ni athari za illusions na delusions, hasa ni kwa vijana wa Gen ZUkiishi hivyo hata milion 100 utaiona ndogo
Ni kweli kibongo bongo million 5 mshahara mkubwa, nahisi labda asilimia 0.2 ya waajiriwa hapa bongo wanalipwa hivyoMil5 kwa mwezi mshahara mkubwa sana jamani achine story.
Shida tunaongeza wants nyingi sana.
Tell him 🤣🤣Laki 5!!!!! si tajiri kabisa huyo!!