Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Yamekukuta mangapi mwenzetu[emoji23]Mwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6 unashangaa huyo mwanaume anaanza kukutafuta na kupiga piga simu kila muda,na sms haziishi hivi huwa mnasahau nini na mnakumbuka nini nyinyi viumbe muitwao wanaume,yaan mtu nishakusahau hata dudu yako siikumbuki kabisa unaanza kujirudisha rudisha na kusema nina mpango naupanga sijui nin nanii ooh mara huwa nakukumbuka sana,nakufikiria Mama sabrina yaishe hayo,Mimi sirudi nyuma naenda mbele huko huko sirudii matapishi kabisa,maana kurudia rudia vitu ya zamani ni kujichosha tu tena mtu alikupa maudhi bora hata kama mliachana kwa wema tu.
Hapa namkaushia tu nataka nimuulize hivi ulisahau nin kwa mama Sabrina au anaumwa huyu mtu ,itakuwa anaharisha kabisa,kaenda kupata kasichana kapuuzi puuzi huko kabayaa wameshindwana huko ujirudishe kwangu marufuku
Mlipoenda muwe mnatulia huko huko msijifanye kurudi ladha ike ya mwanzo ishaisha kabisa ,tunataka wapya tu wa kuanza nao upya
Labda mwanaume anakumbuka vile ulikuwa ukimgawiaga mavitu aina zote.....Mwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6 unashangaa huyo mwanaume anaanza kukutafuta na kupiga piga simu kila muda,na sms haziishi hivi huwa mnasahau nini na mnakumbuka nini nyinyi viumbe muitwao wanaume,yaan mtu nishakusahau hata dudu yako siikumbuki kabisa unaanza kujirudisha rudisha na kusema nina mpango naupanga sijui nin nanii ooh mara huwa nakukumbuka sana,nakufikiria Mama sabrina yaishe hayo,Mimi sirudi nyuma naenda mbele huko huko sirudii matapishi kabisa,maana kurudia rudia vitu ya zamani ni kujichosha tu tena mtu alikupa maudhi bora hata kama mliachana kwa wema tu.
Hapa namkaushia tu nataka nimuulize hivi ulisahau nin kwa mama Sabrina au anaumwa huyu mtu ,itakuwa anaharisha kabisa,kaenda kupata kasichana kapuuzi puuzi huko kabayaa wameshindwana huko ujirudishe kwangu marufuku
Mlipoenda muwe mnatulia huko huko msijifanye kurudi ladha ike ya mwanzo ishaisha kabisa ,tunataka wapya tu wa kuanza nao upya
Mimi sasa sikumbuki,japo ni handsomeLabda mwanaume anakumbuka vile ulikuwa ukimgawiaga mavitu aina zote.....
Yeye anakumbuka maukuta aliyokuwa akirukishwa. Huko aliko haruki tena[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi sasa sikumbuki,japo ni handsome
wanakera sana[emoji41] [emoji41]Hahahaaaa. Aliruka pakavu akakanyaga maji. Mwambie apambane na hali yake. Na usisahau kumkumbusha kwamba kuna ule usemi usemao "ukiona cha nini........................"
Ila wanaume mna visa yaani mtu ameshasahau kama ni kidonda kilishapona halafu unajirudisha tena. Khaaaa
Apambane na hali yakeHahahaaaa. Aliruka pakavu akakanyaga maji. Mwambie apambane na hali yake. Na usisahau kumkumbusha kwamba kuna ule usemi usemao "ukiona cha nini........................"
Ila wanaume mna visa saa nyingine yaani mtu ameshasahau na kama ni kidonda kilishapona halafu unajirudisha tena. Khaaaa
Dawa ya mtu kama huyo ni kumfungia vioo tu naye apate maumivu kama yale aliyoyasababisha mwanzo.wanakera sana[emoji41] [emoji41]
Kabisaaaa mwaya.Apambane na hali yake
unaniongelea mimi au?Mimi sasa sikumbuki,japo ni handsome
vinyongo ni sumu best, maisha yenyewe mafupi haya, tusameheane then maisha yaendelee, tuendelee hivi kununiana mpk lini, ngumu sana upendo kuugeuza chuki, tunatakiwa kuyamaliza no matter what, ndiyo ni radhi kulia hata mabegani hasira ziisheHahahaaaa. Aliruka pakavu akakanyaga maji. Mwambie apambane na hali yake. Na usisahau kumkumbusha kwamba kuna ule usemi usemao "ukiona cha nini........................"
Ila wanaume mna visa saa nyingine yaani mtu ameshasahau na kama ni kidonda kilishapona halafu unajirudisha tena. Khaaaa