Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

Hapana Daby ...

Chaaaa......mie huyo...!?

Aisee yule jamaa hapana. Baada ya kugonga mwamba huko aliko imebidi sasa lawama ambebeshe mama yake.

Kwa bahati nzuri mama yake alikuwa anamnusuru na kulogwa kumbe ndo kamloga kabisa
Nyie mama zetu huwa muda mwingine mnatupoteza na mnavyojua mkishatuambia "kama mimi sio mama yako basi muoe patience" tunafuata basi mnatuendesha.

Jamaa lazima awe ns stress. Hakuna Jambo linakera hasa kwetu kama Ex wako kufanikiwa maishani kukuzidi...ni aibu ukikutana naye unajificha.
 
hongera mpenz
But mama ake alianza kumtafutia sababu nyingi. Kuna wakati alimwambia kuwa ukoo wetu tuna midomo sana, mara nyingine akawa anamwambia kuwa mimi ni msomi nitamsumbua,mwisho kabisa wakamwambia kuwa asipomuoa aliyezaa naye atalogwa..

Chaaa...
 
Hahahahahaaaaaa


Yani ni shida. Ila mimi nimejiwekea nia ya kutomuingilia mwanangu kwenye demokrasia ya mapenzi. Ikibidi nitamshauri,lakini sio kulazimisha na kuacha laana zisizo na kichwa wala miguu
 
Mtalaka hatongozwi mama
 
Hahahahahaaaaaa


Yani ni shida. Ila mimi nimejiwekea nia ya kutomuingilia mwanangu kwenye demokrasia ya mapenzi. Ikibidi nitamshauri,lakini sio kulazimisha na kuacha laana zisizo na kichwa wala miguu
Itakuwa vizuri.
 
makubwa mzazi unatakiwe uwe na mipak sio ufany unavyotak kisa tu umezaa hap tunakosea san tu ni wazazi weng san wan hii tabia
 
Sawa,tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…