Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Asante mpenzi....hongera mpenz
Kuachwa kunauma aisee,halafu bila kosa,chaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mpenzi....hongera mpenz
Nyie mama zetu huwa muda mwingine mnatupoteza na mnavyojua mkishatuambia "kama mimi sio mama yako basi muoe patience" tunafuata basi mnatuendesha.Hapana Daby ...
Chaaaa......mie huyo...!?
Aisee yule jamaa hapana. Baada ya kugonga mwamba huko aliko imebidi sasa lawama ambebeshe mama yake.
Kwa bahati nzuri mama yake alikuwa anamnusuru na kulogwa kumbe ndo kamloga kabisa
But mama ake alianza kumtafutia sababu nyingi. Kuna wakati alimwambia kuwa ukoo wetu tuna midomo sana, mara nyingine akawa anamwambia kuwa mimi ni msomi nitamsumbua,mwisho kabisa wakamwambia kuwa asipomuoa aliyezaa naye atalogwa..hongera mpenz
HahahahahaaaaaaNyie mama zetu huwa muda mwingine mnatupoteza na mnavyojua mkishatuambia "kama mimi sio mama yako basi muoe patience" tunafuata basi mnatuendesha.
Jamaa lazima awe ns stress. Hakuna Jambo linakera hasa kwetu kama Ex wako kufanikiwa maishani kukuzidi...ni aibu ukikutana naye unajificha.
Mtalaka hatongozwi mamaMwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6 unashangaa huyo mwanaume anaanza kukutafuta na kupiga piga simu kila muda,na sms haziishi hivi huwa mnasahau nini na mnakumbuka nini nyinyi viumbe muitwao wanaume,yaan mtu nishakusahau hata dudu yako siikumbuki kabisa unaanza kujirudisha rudisha na kusema nina mpango naupanga sijui nin nanii ooh mara huwa nakukumbuka sana,nakufikiria Mama sabrina yaishe hayo,Mimi sirudi nyuma naenda mbele huko huko sirudii matapishi kabisa,maana kurudia rudia vitu ya zamani ni kujichosha tu tena mtu alikupa maudhi bora hata kama mliachana kwa wema tu.
Hapa namkaushia tu nataka nimuulize hivi ulisahau nin kwa mama Sabrina au anaumwa huyu mtu ,itakuwa anaharisha kabisa,kaenda kupata kasichana kapuuzi puuzi huko kabayaa wameshindwana huko ujirudishe kwangu marufuku
Mlipoenda muwe mnatulia huko huko msijifanye kurudi ladha ike ya mwanzo ishaisha kabisa ,tunataka wapya tu wa kuanza nao upya
Itakuwa vizuri.Hahahahahaaaaaa
Yani ni shida. Ila mimi nimejiwekea nia ya kutomuingilia mwanangu kwenye demokrasia ya mapenzi. Ikibidi nitamshauri,lakini sio kulazimisha na kuacha laana zisizo na kichwa wala miguu
[emoji38]Etiii. Sema na wewe dada.
Hawatakuja wataishia kupita kimya kimya tu. Hahahaaaa.
makubwa mzazi unatakiwe uwe na mipak sio ufany unavyotak kisa tu umezaa hap tunakosea san tu ni wazazi weng san wan hii tabiaNyie mama zetu huwa muda mwingine mnatupoteza na mnavyojua mkishatuambia "kama mimi sio mama yako basi muoe patience" tunafuata basi mnatuendesha.
Jamaa lazima awe ns stress. Hakuna Jambo linakera hasa kwetu kama Ex wako kufanikiwa maishani kukuzidi...ni aibu ukikutana naye unajificha.
Tupo bizeengoja miwaite huku wanaume wa jf mpite huku
Usiwe hivyo sawaa eeehmakubwa mzazi unatakiwe uwe na mipak sio ufany unavyotak kisa tu umezaa hap tunakosea san tu ni wazazi weng san wan hii tabia
Sasa si ndo hadi sisi tuanze na nyie ndo mpate urahisi wa kurudiHahaaaa. Inawezekana ila hata tukikumbuka ni ngumu kurudi aisee.
sintokuwa hivy abadanUsiwe hivyo sawaa eeeh
Ahahahahah,,watafute unasubiri wakutafuteWanawake zangu wa zamani sijui wanakufaga maana tukiachana ndio hamna tena mawasiliano
Mi hata hisia nae sinaHii tabia inakera sana nyie wanaume mkuje huku wakishaenda huko wakiona sio ndio wanajirudisha mfyuuu
Ndio wapo hivyoHahaaa. Kila mmoja atajifanya ni mwena hajawahi kuacha akarudi.
Ahahahahah,,watafute unasubiri wakutafute
Sirudii kuna mtu nishaanza kumuweka moyoniKaona aje kukumalizia kabisa
Sawa,tumekuelewaMwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6 unashangaa huyo mwanaume anaanza kukutafuta na kupiga piga simu kila muda,na sms haziishi hivi huwa mnasahau nini na mnakumbuka nini nyinyi viumbe muitwao wanaume,yaan mtu nishakusahau hata dudu yako siikumbuki kabisa unaanza kujirudisha rudisha na kusema nina mpango naupanga sijui nin nanii ooh mara huwa nakukumbuka sana,nakufikiria Mama sabrina yaishe hayo,Mimi sirudi nyuma naenda mbele huko huko sirudii matapishi kabisa,maana kurudia rudia vitu ya zamani ni kujichosha tu tena mtu alikupa maudhi bora hata kama mliachana kwa wema tu.
Hapa namkaushia tu nataka nimuulize hivi ulisahau nin kwa mama Sabrina au anaumwa huyu mtu ,itakuwa anaharisha kabisa,kaenda kupata kasichana kapuuzi puuzi huko kabayaa wameshindwana huko ujirudishe kwangu marufuku
Mlipoenda muwe mnatulia huko huko msijifanye kurudi ladha ike ya mwanzo ishaisha kabisa ,tunataka wapya tu wa kuanza nao upya