Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

kwenye mahusiano kuna muda wapenzi hawajui wanataka nini na hawajui hawataki nini, wakijua inaweza kuwa too late.
 
Yaani nachukiaga mno mno hio situation... ukute sasa penzi jipya ndo limenoga hatariiiiiii halafu limtu linasumbua sumbua mmxxxxxiioooouuuuuuussssssss... mi nablokyu tyu sitakagi ujinga




cc Smart911
 
Tukisema tuwasamehe kila mnaporudi basi mtazidi kutufanya wa majaribio best. Wacheni tukomae kwenye hivyo mnavyovoita vinyongo huenda mkawacha tabia ya kuondoka na kurudi.


Tis better to have loved and lost Than never to have loved at all.
 
Ila Sijaamini ulichoniandikia best. Nishazowea vurugu zako za kunikatisha tamaa.


hahahaaa!!! best, I'll Just Take U In My Arms And Hug U Tightly Till The Warmth Of My Hug Melts Ur Anger... ! ! Right!!!
 
Hii mimi pia inanishangaza sana, yaani unakuta jamaa anakuacha kwa nyodo zote na kebehi. Lkn anarudi sijui huwa wanakuwa wamesahau map**mbu yao. Dawa yao ni fukuza kama mbwa koko shubaaaamit
 
Miaka ya nyuma, nilipendana sana na mdada mmoja tukawa tunapanga namna ya kuoana. Mda ukaenda baada ya mwaka akaniandikia barua( enzi ile hakuna simu) kuwa anaomba kusitisha uchumba. Nilichanganyikiwa nikamfata kwao akawa pia hataki tuonane niliumia kwakweli. Baada ya wiki akaniandikia barua tena akasema sababu kuwa anataka kwenda kuolewa na ndoa yake imekaribia hivo nisimfatilie, nilikoma. Harusi yake ikapita, nikiwa nimenyamaza na kumsahau kabisa...... Ikapita miaka 4, wa 5 nilishangaa siku moja akinibip ( 2003 simu ya mkononi ilishaanza kutumika mda huo) nikampigia akanijulisha na alifurahi sana alipoona sikuwa na kinyongo, akaomba tuonane siku inayofuata. Nikaonana nae kwakweli alifurahi sana nilipoona kafurahi nikaomba tupange tuonane wakati mzuri ili tukumbushie..... Ikafika siku hiyo lakini alinishangaa ninapotumia kinga, hakupenda lakini mi sikumwamini. Baadae akaniambia angetaka kuweka kumbukumbu ya penzi letu hasa ya enzi ile. Nilikuwa sikumwelewa lakini akaweka wazi alitaka tuzae, sikumkatalia nikampa sharti la afya akalitekeleza. Mwezi uliofuata akarudi akiwa ktk siku za hatari. Hakuna penzi tamu duniani km utaambiwa leo hii nimekuja ili unitie mimba, ashki ya ajabu ilinipanda nipiga mzigo km vile sina akili, yaan hata siku moja sijawahi kufumua kiasi hicho kisa tu eti nalipa kisasi cha jamaa kumwoa mpenz wangu... Miezi chache akanijulisha kuwa kitu imeshajibu na kina miezi 3. Nikawaza kijinga kuwa jamaa ana mtt moja na mi pia nina moja kwa mke wake huyo huyo alienipora. Akajifungua mtt wa kike ambae jamaa alimpenda sana kuliko hata yule dam yake halali hapo ndo nikajua boya ndo mimi, mtt hanijui, hata hatakiwi anijue kuwa mimi ndie baba yake..... Kwakurudisha penzi la zamani wanawake ndio hodari zaidi kuliko wanaume hasa mume maisha inapoyumba au kuna mgogoro au hatosheki kitandani.
 
Pole sana, kwa yaliokukuta...

Wazungu husema old is Gold, waswahili hunena ya kale hayanuki...


Ila kweli, haifai kabisa.. Kama ulishapotezeana na mtu, kwa nini urudi kumsumbua tena, hamtoweza kua kama mwanzo hata iweje...


Cc: mahondaw
 
Itakua busara ukitumia umoja!!hii ni kutokana na takwimu kutokua rafiki....(hamtabiriki)
 
 
Everyone deserve a second chance....give him another chance kama hujapata mtu tayari...
 
Hii mimi pia inanishangaza sana, yaani unakuta jamaa anakuacha kwa nyodo zote na kebehi. Lkn anarudi sijui huwa wanakuwa wamesahau map**mbu yao. Dawa yao ni fukuza kama mbwa koko shubaaaamit
Hahahaha
 
Nashangaa wao wanavyotulalamikia lakini wao ndio vinara wa vituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…