Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upo busy wapiTupo bizee
Yaan umepatia kabisaa umegonga mle mleNaona Baba Sabrina anataka kurudi
Huku kwa naniiWewe upo busy wapi
We si uliaga unaenda shuleDah kumbe ulianza mapenz miaka sita iliyopita. Hongera
hahaaaa katka ubora wakoDah kumbe ulianza mapenz miaka sita iliyopita. Hongera
Tukisema tuwasamehe kila mnaporudi basi mtazidi kutufanya wa majaribio best. Wacheni tukomae kwenye hivyo mnavyovoita vinyongo huenda mkawacha tabia ya kuondoka na kurudi.
Ila Sijaamini ulichoniandikia best. Nishazowea vurugu zako za kunikatisha tamaa.
Mh!Ya kale ni dhahabu.
Jungu kuu halikosi ukoko
Jungu kuu umenikumbusha kitambo kidogoYa kale ni dhahabu.
Jungu kuu halikosi ukoko
Mwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6 unashangaa huyo mwanaume anaanza kukutafuta na kupiga piga simu kila muda,na sms haziishi hivi huwa mnasahau nini na mnakumbuka nini nyinyi viumbe muitwao wanaume,yaan mtu nishakusahau hata dudu yako siikumbuki kabisa unaanza kujirudisha rudisha na kusema nina mpango naupanga sijui nin nanii ooh mara huwa nakukumbuka sana,nakufikiria Mama sabrina yaishe hayo,Mimi sirudi nyuma naenda mbele huko huko sirudii matapishi kabisa,maana kurudia rudia vitu ya zamani ni kujichosha tu tena mtu alikupa maudhi bora hata kama mliachana kwa wema tu.
Hapa namkaushia tu nataka nimuulize hivi ulisahau nin kwa mama Sabrina au anaumwa huyu mtu ,itakuwa anaharisha kabisa,kaenda kupata kasichana kapuuzi puuzi huko kabayaa wameshindwana huko ujirudishe kwangu marufuku
Mlipoenda muwe mnatulia huko huko msijifanye kurudi ladha ike ya mwanzo ishaisha kabisa ,tunataka wapya tu wa kuanza nao upya
HahahahaHii mimi pia inanishangaza sana, yaani unakuta jamaa anakuacha kwa nyodo zote na kebehi. Lkn anarudi sijui huwa wanakuwa wamesahau map**mbu yao. Dawa yao ni fukuza kama mbwa koko shubaaaamit
Nashangaa wao wanavyotulalamikia lakini wao ndio vinara wa vituko.Miaka ya nyuma, nilipendana sana na mdada mmoja tukawa tunapanga namna ya kuoana. Mda ukaenda baada ya mwaka akaniandikia barua( enzi ile hakuna simu) kuwa anaomba kusitisha uchumba. Nilichanganyikiwa nikamfata kwao akawa pia hataki tuonane niliumia kwakweli. Baada ya wiki akaniandikia barua tena akasema sababu kuwa anataka kwenda kuolewa na ndoa yake imekaribia hivo nisimfatilie, nilikoma. Harusi yake ikapita, nikiwa nimenyamaza na kumsahau kabisa...... Ikapita miaka 4, wa 5 nilishangaa siku moja akinibip ( 2003 simu ya mkononi ilishaanza kutumika mda huo) nikampigia akanijulisha na alifurahi sana alipoona sikuwa na kinyongo, akaomba tuonane siku inayofuata. Nikaonana nae kwakweli alifurahi sana nilipoona kafurahi nikaomba tupange tuonane wakati mzuri ili tukumbushie..... Ikafika siku hiyo lakini alinishangaa ninapotumia kinga, hakupenda lakini mi sikumwamini. Baadae akaniambia angetaka kuweka kumbukumbu ya penzi letu hasa ya enzi ile. Nilikuwa sikumwelewa lakini akaweka wazi alitaka tuzae, sikumkatalia nikampa sharti la afya akalitekeleza. Mwezi uliofuata akarudi akiwa ktk siku za hatari. Hakuna penzi tamu duniani km utaambiwa leo hii nimekuja ili unitie mimba, ashki ya ajabu ilinipanda nipiga mzigo km vile sina akili, yaan hata siku moja sijawahi kufumua kiasi hicho kisa tu eti nalipa kisasi cha jamaa kumwoa mpenz wangu... Miezi chache akanijulisha kuwa kitu imeshajibu na kina miezi 3. Nikawaza kijinga kuwa jamaa ana mtt moja na mi pia nina moja kwa mke wake huyo huyo alienipora. Akajifungua mtt wa kike ambae jamaa alimpenda sana kuliko hata yule dam yake halali hapo ndo nikajua boya ndo mimi, mtt hanijui, hata hatakiwi anijue kuwa mimi ndie baba yake..... Kwakurudisha penzi la zamani wanawake ndio hodari zaidi kuliko wanaume hasa mume maisha inapoyumba au kuna mgogoro au hatosheki kitandani.
Habari rafiki