Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hii topic mimi bado sijaisoma[emoji85] [emoji85] [emoji85]mwifwa tia neno hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii topic mimi bado sijaisoma[emoji85] [emoji85] [emoji85]mwifwa tia neno hapa
[emoji15] [emoji15]Hii topic mimi bado sijaisoma[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nadhani umenielewa[emoji15] [emoji15]
bado kabisaaNadhani umenielewa
Wewe umeanza kukalia mpini lini?Dah kumbe ulianza mapenz miaka sita iliyopita. Hongera
[emoji395] [emoji395] [emoji124] [emoji124] [emoji124]bado kabisaa
Hahaaaa. Inawezekana ila hata tukikumbuka ni ngumu kurudi aisee.Ninyi huwa hamkumbuki?
Mnoo.....wanakera sana[emoji41] [emoji41]
yaan usirudi nyuma kabisa kimawazo mwache aende maumivu yamekwisha ndo anarudi hajui kama kachelewaMnoo.....
Same shit happened to me.
Namwangaliaga tu anavyorukaruka kama maharage kwenye sufuria.
Ameishia kumlaumu mama ake kuwa ndiye alimponza baada ya maisha kumuendea kombo. Anadai angenioa mimi angekuwa mbali kimaisha.
Sisahau siku ananiambia kuwa ameamua kumuoa mwanamke aliyezaa naye pumbaffff
Sinaga hata time naye,analalamika kuwa mama yake ndiye alimwambia kuwa mwanamke aliyezaa naye ndiye waif matirio, kipindi hicho mie bado nasoma,mama ake akamwambia huyo msomi atakusumbua. So leo anajuta alioa mwanamke hajui maana ya maisha na tayari walisha achana.yaan usirudi nyuma kabisa kimawazo mwache aende maumivu yamekwisha ndo anarudi hajui kama kachelewa
safi sana amfate mama ake amuonyeshe mke mwengineSinaga hata time naye,analalamika kuwa mama yake ndiye alimwambia kuwa mwanamke aliyezaa naye ndiye waif matirio, kipindi hicho mie bado nasoma,akamwambia huyo msomi atakusumbua. So leo anajuta alioa mwanamke hajui maana ya maisha na tayari walisha achana.
Amebaki analalamika kwa ndugu zangu.
Mimi niko na familia sasa hivi amebaki kuona gere.
Najua huwa mkikumbuka mnabaki kuumia moyoni bila kusema tofauti na wanaume ambao wanafunga nila wogaHahaaaa. Inawezekana ila hata tukikumbuka ni ngumu kurudi aisee.
Hahahahahaaaaaasafi sana amfate mama ake amuonyeshe mke mwengine
Aiseeeh.Hahahahahaaaaaa
Kwa kweli.
Shost huyu kaka alikuwa na niya ya dhati,aliwekeza sana kwangu,alikuwa anampenda sana mama yangu,na tuna nasaba ya mbali pia, mama yangu alivaa sana vitenge na kijana alitangaza kabisa uchumba. Kila mtu pale kwetu alijua kuwa flani mchumba ake ni flani. Akaweka miadi ya kunivisha pete. Akalifikisha rasmi kwa wazazi wake. Hapo ndo meza ikageuka kichwa chini miguu juu. Kuna mwanamke alizaa naye akiwa masomoni mkoa flani, ndo mama ake akamwambia kuwa huyo mwanamke aliyemzalisha huko akiskia kuwa anaoa mwanamke mwingine atamuua kwa uchawi.
Wakamtolea na mifano mingi jamaa akaogopa. Nikaanza kuskia hizo fununu. Mwisho wa siku akanitoa outing akiwa na dada ake na ndugu ake mmoja....
Baada ya kutia story sana huku nikiwa na bonge la tabasamu ndo akaanza kunipa stori za mifano ambayo sikuielewa,ikabidi aniambie ukweli,tabasamu likageuka kuwa kilio....
Nilihisi nakufa siku ile,yani mpaka nikawa naona maruwe ruwe. Nilipata msongo mpaka nikawa najihisi kama nitakuwa kichaa..muda ni tiba,baadae nilizoea ile hali,nika move on na maisha yakaendelea. Sikujiingiza tena kwenye mahusiano mpaka alipokuja baba chanja niliyenaye kwenye ndoa. Harusi yangu mama ake na baba ake pia walihudhuria.
Kwa sasa ananiomba niwe hata nampigia simu kumsalimia na namba yake nilishaitupa na kum block kitambo sana.
Acha tu Daby .Aiseeeh.
Hapo ukihadaika kidogo tu anakuharibia kila kitu.
hongera mpenzHahahahahaaaaaa

Hapana Daby ...Hapo ukihadaika kidogo tu anakuharibia kila kitu.