Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

Sio siri starehe vyuoni tunazipenda sana na kuacha ni ngumu.
Kuweni makini.Mkirudi nyumbani na miupuuzi yenu mkifurushwa msianze visingizio.Tengenezeni maisha yenu kwanza halafu baadaye mtakula mbuguswa,mitowo,kuku hadi bata bila kuchungwachungwa kama ngedere-mwitu.
NB:Hata mkianza kujitegemea mtapaswa kufuata sheria za nchi accordingly!Maisha ni mchakamchaka.Jifunzeni kuishi kwa sheria,kanuni na malengo tangu mkiwa wachanga.
 
Ni umri unawasumbua. Wamekanywwa vya kutosha. Watapata akili baadae waache kama walivyo.

Ila kusema ukweli nilivyokuwa chuo na mimi sikuwa nyuma kwenye starehe😄
 
Wewe unamkanya nani umr wa miaka 17-29 ni umri wa kujifunza ni heri mtu asiruke stage Ili baadae tuondokane na wazee wa hovyo na wamama wanaopenda vijana
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
 
Back
Top Bottom