Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
- Thread starter
- #41
HUU ni ukubwaYan nilikua najizuia sana kula mademu lakini wapy Ila sahv nipo mtaani Nina nidhamu kishenz siongi hovyo hovyo "Every single cent count"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUU ni ukubwaYan nilikua najizuia sana kula mademu lakini wapy Ila sahv nipo mtaani Nina nidhamu kishenz siongi hovyo hovyo "Every single cent count"
Umasaini sijawahiSasa kama umeishi umasaini ukifika chuoni kuna asilimia 95%usirudi
Jaribu mkuuUmasaini sijawahi
Stage inategemea tu,,,ila kikubwa kwa vijana wengi hasa wanaopitia chuo hio ni stage kubwa ya kujifunza,,kuna wale wanajilipua wakifulia wanashindia mikate na maji hadi boom lingine maisha yanaenda, na kuna wengine wakishafulia matatizo ndo yanaanza mwisho wa siku wanarukaruka wanakutana na wakina pididi wanavuliwa vyeo na magonjwa juu.....kuna wengine hawajapitia vyuoni ila wakianza kupata maboom yakitaa akili zinawarukaKwani ambao hawapiti vyuo huruka stage mkuu
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Nakubaliana na wewe.Siamini kama kumkanya mtu kunatosha kumzuia asifanye makosa.
Makosa ni mazuri, ni sehemu ya maisha, fanyeni makosa.
Nashukuru sana Mkuu, hili limepokelewa kwa dhati na ninaamini linaweza kubadilisha mtazamo na maisha yetu tunapoipambania elimu.Kuweni makini.Mkirudi nyumbani na miupuuzi yenu mkifurushwa msianze visingizio.Tengenezeni maisha yenu kwanza halafu baadaye mtakula mbuguswa,mitowo,kuku hadi bata bila kuchungwachungwa kama ngedere-mwitu.
NB:Hata mkianza kujitegemea mtapaswa kufuata sheria za nchi accordingly!Maisha ni mchakamchaka.Jifunzeni kuishi kwa sheria,kanuni na malengo tangu mkiwa wachanga.
Sema Mkuu ni sahihi tunajifunza kutokana na makosa.Siamini kama kumkanya mtu kunatosha kumzuia asifanye makosa.
Makosa ni mazuri, ni sehemu ya maisha, fanyeni makosa.
Hapana, sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo.Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Aliyekwambia "uzee wa hovyo" na "wamama wanaopenda vijana" inaondolewa na kufanya starehe ujanani ni nani?Wewe unamkanya nani umr wa miaka 17-29 ni umri wa kujifunza ni heri mtu asiruke stage Ili baadae tuondokane na wazee wa hovyo na wamama wanaopenda vijana