Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

Bila makanyo mbona karibia wote makaburi yetu yangekuwa yanawekewa marumaru majira haya!
Haha 😂
Ukiwa mdogo unatandikwa
Ukifika umri flan unakanywa plus kunyimwa uhuru wa vitamu
Ukioa maushari kibao
Ukiwa na hela washauri kibao
Dini zimeleta sheria kibao
Serikali wameleta sheria kibao

Ebu acheni watu wajimwage
Mkuu unaongea kwa herufi kubwa mno
 
Ukiwa mdogo unatandikwa
Ukifika umri flan unakanywa plus kunyimwa uhuru wa vitamu
Ukioa maushari kibao
Ukiwa na hela washauri kibao
Dini zimeleta sheria kibao
Serikali wameleta sheria kibao

Ebu acheni watu wajimwage
Hamuachwi hata kidogo.Ni bampa to bampa hadi lukwili!
NB:Mngekuwa Uchagani au Umasaini viboko mngekula na faini mnalipa.Maisha ni nidhamu!
 
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Sisi wengine tumekua kwa kujiongoza ki vyangu..

Yaan,

Tumepita njia ambazo wengine wasinge fanikiwaa..

True.

MUNGU PEKEE NDIE ANAE ONGOZA MTU (YESU KRISTO WA NAZARETH NDIO AMETUONGOZA)
 
Sasa na vyuo vikuu viletwe huko wakuu
Hapana.Kukanywa kunaanzia nyumbani halafu kwa teknolojia ya mawasiliano mtakumbushwa mkiwa huko vyuoni.Msikereke na kukanywa.Mzingatie maonyo.Hivi,ukitulia na kunipigia picha mtu kama mimi unapata ni mtu wa aina gani?Lakini,sikuwa limbukeni ndiyo maana nipo mwishoni mwa 40s!
 
Back
Top Bottom