Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ukiwa mdogo unatandikwaBila makanyo mbona karibia wote makaburi yetu yangekuwa yanawekewa marumaru majira haya!
Haha 😂Bila makanyo mbona karibia wote makaburi yetu yangekuwa yanawekewa marumaru majira haya!
Mkuu unaongea kwa herufi kubwa mnoUkiwa mdogo unatandikwa
Ukifika umri flan unakanywa plus kunyimwa uhuru wa vitamu
Ukioa maushari kibao
Ukiwa na hela washauri kibao
Dini zimeleta sheria kibao
Serikali wameleta sheria kibao
Ebu acheni watu wajimwage
Hamuachwi hata kidogo.Ni bampa to bampa hadi lukwili!Ukiwa mdogo unatandikwa
Ukifika umri flan unakanywa plus kunyimwa uhuru wa vitamu
Ukioa maushari kibao
Ukiwa na hela washauri kibao
Dini zimeleta sheria kibao
Serikali wameleta sheria kibao
Ebu acheni watu wajimwage
Maisha yangu kwa 70% nimeishi kwenye jamii mojawapo uliyoitaja hapoHamuachwi hata kidogo.Ni bampa to bampa hadi lukwili!
NB:Mngekuwa Uchagani au Umasaini viboko mngekula na faini mnalipa.Maisha ni nidhamu!
Kizazi cha GEN ZAstaghifilullah!Kwa hiyo mnataka muishi kama mwanzo ya Adam na Eva?Hakuna vikongwe!🤔
Si unakumbuka viboko na faini zake kwa vichwa ngumu?😂Maisha yangu kwa 70% nimeishi kwenye jamii mojawapo uliyoitaja hapo
Sasa kama umeishi umasaini ukifika chuoni kuna asilimia 95%usirudiMaisha yangu kwa 70% nimeishi kwenye jamii mojawapo uliyoitaja hapo
Sasa na vyuo vikuu viletwe huko wakuuSi unakumbuka viboko na faini zake kwa vichwa ngumu?😂
Sisi wengine tumekua kwa kujiongoza ki vyangu..Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Siku zote hatua nzuri ya kujifunza ni pale unapokoseaAstaghifilullah!Kwa hiyo mnataka muishi kama mwanzo ya Adam na Eva?Hakuna vikongwe!🤔
Hapana.Kukanywa kunaanzia nyumbani halafu kwa teknolojia ya mawasiliano mtakumbushwa mkiwa huko vyuoni.Msikereke na kukanywa.Mzingatie maonyo.Hivi,ukitulia na kunipigia picha mtu kama mimi unapata ni mtu wa aina gani?Lakini,sikuwa limbukeni ndiyo maana nipo mwishoni mwa 40s!Sasa na vyuo vikuu viletwe huko wakuu
Haha 😂 sasa wakirudi utawakanya nini?
Sisi wengine tumekua kwa kujiongoza ki vyangu..Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Ingawa hiyo huwa na majutoSiku zote hatua nzuri ya kujifunza ni pale unapokosea
Ombea siku zote usikosee sana/kupitiliza hadi unaharibu kabisa/kuumia sana/kudhalilika kulikozidi au hata kupoteza uhai.Umakini.Siku zote hatua nzuri ya kujifunza ni pale unapokosea
Lakini maonyo pia ni muhimu kuzingatiaSisi wengine tumekua kwa kujiongoza ki vyangu..
Yaan,
Tumepita njia ambazo wengine wasinge fanikiwaa..
True.
MUNGU PEKEE NDIE ANAE ONGOZA MTU (YESU KRISTO WA NAZARETH NDIO AMETUONGOZA)
Kwani ambao hawapiti vyuo huruka stage mkuuAcha madogo wale maisha,,,wasije wakarudi kitaa wakawa wazee wa ovyo kwa kuruka stage kikubwa wakumbuke kucheza kwa step