Huwa nachukia nikimsikia mtu anarudia rudia kusema 'mtu na dada yake' ninapozungumza naye

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Wakuu huwa napandwa na hasira Kali mtu akiwa anarudia rudia neno 'mtu na dada yake'. Jana Kuna mtu mmoja nilimrukia na kumgaragaza kama chui jamaa mmoja aliyekuwa anarudia maneno haya katika Kila sentensi lakini nilijutia.

Hebu naombeni ushauri jinsi ya kuepukana na hasira inayoyoletw na maneno haya.

Ni haya tu!
 
Wanakujua ya kwamba ushaleft group au ni nyuki wa mashine hivyo wanajua unaongea dada mwenzio. Vumilia tu hakuna namna.
 
Haita saidia kitu , kama hutoshika maneno yangu bwashee 🤣🤣🤣
Baadhi ya maneno yako nimeshayashika lakini nayehitaji mengine mengi yenye manufaa ndiyo maana ukikata kamba lazima niumie kumoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…