Huwa nachukia sana pale Mtu ambaye namjua Kitabia akiwa mbele za Watu na Camera anadanganya na kujifanya Mtakatifu

Huwa nachukia sana pale Mtu ambaye namjua Kitabia akiwa mbele za Watu na Camera anadanganya na kujifanya Mtakatifu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua.

Makalla amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9, 2024 Kiteto mkoani Manyara alipozungumza katika mkutano wa hadhara.

“Niwaombe viongozi wa dini, viongozi wa dini na mila tukemee matendo haya, kama zipo imani za kishirikina kuwa ukilawiti utapata mali huo ni uongo, waganga ni waongo..,”amesema.

Chanzo: mwananchi_official

Acheni tafadhali Kutulazimisha tuseme yenu ya ndani mliyonayo. Huwezi kuwa Kiongozi CCM na usiwe Mshirikina Oky?
 
....kwamba ulawiti unawapa madaraka sio?..lisemwalo lipo
 
Back
Top Bottom