Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind.

This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha......

Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie).......

Commit a crime and I'll be your defender,
Overpower me so that i surrender hmm,
I wish I could be your saliva,
So that I could taste your lips whenever

I envy, your hipster
Vile inakushika kwa ma-paaa!,
Kwa kweli manzi umebarikiwa,
Ndiyo maana tunaimba halleluyaaa!

Naasinzia nikikuwaza....
Dada mwenye komwe sema (Ooooh ooooh).

Halafu ngoja nikuwashe data sasa ewe kidume mwenzangu waaah!

Hapo najua akili imeshakurudia ndiyo unakumbuka kwamba mkeo hukumkuta bikra na hukuitoa wewe. Mbaya zaidi aliyeitoa yupo.

Najua tu utaizima data tena wewe si kichwa ngumu?

Usije kusema hukukumbushwa.

Hatuhitaji tena tuje kusikia kidume mwenzetu anakuja hapa analia kwamba "Nimemwachia mali zote mke wangu naenda mbali kuanzia upya"
 
GLysOnXWQAAwOzh.jpeg

Spit fire comrade
 
Back
Top Bottom