Huwa nafanya kwa kuiga ila sijui kwanini…

Huwa nafanya kwa kuiga ila sijui kwanini…

Basi mimi nikajua humu ndani wote wa kishua na shopping za makulaji ni shoppers na mlimani city..Kumbe wenzetu wa magengeni na masokon tuko pamoja hapa
Tuko pamoja. Ndo natoka hapa niende Tegeta Nyuki sokoni kununua mahitaji ya wiki. Habari za kununua nyanya za sauz afrika supermarket tuwaachie mafisadi
 
Mimi huwa nanunua Sana madafu...
Cha kushangaza unakuta muuza dafu kila ukiuliza dafu anajifanya anatafuta Kwa kugonga gonga...wakati hayo madafu kashinda nayo toka asubuhi...
Ule ni usanii wanafanya
Huu ni usanii. Maana anataka kusema hayo “mabaya” hatoyauza??
 
Nazi naijua kwa uzito wake(dafu ni zito kuliko nazi), na kuipiga kuna mlio wake hapa unajua hii nazi imekomaa. Na kwa kutizama tu unajua hii imekomaa hii bado vizuri
(Expirience tu)

Njoo huku, uhamie kwangu wiki tu utakuwa umezijua.😂
Heheheh. Ngoja niombe ruhusa basi nije “shuleni”
 
Mchagua Nazi Huchagua Koroma
Kaacha Dogo Dogo Kalivaa Limama
 
Yan wew ni Mimi kabisa😀😀 ila Wala sisumbuki namwambiaga muuzaji anichagulie tu
 
Back
Top Bottom