Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kwanza ukitikisa utajua ni mbata au siyo, Pili ukigonga ikilia kokooo ujue imekomaa ikilia mbambanaaa haijakoma hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja. Ndo natoka hapa niende Tegeta Nyuki sokoni kununua mahitaji ya wiki. Habari za kununua nyanya za sauz afrika supermarket tuwaachie mafisadiBasi mimi nikajua humu ndani wote wa kishua na shopping za makulaji ni shoppers na mlimani city..Kumbe wenzetu wa magengeni na masokon tuko pamoja hapa
He!!🤣🤣🤣🤣Ukiwa mgeni humu unaweza kuzani inazungumziwa nazi hii hii ya kupikia, kumbe! 😃View attachment 2702439
Huu ni usanii. Maana anataka kusema hayo “mabaya” hatoyauza??Mimi huwa nanunua Sana madafu...
Cha kushangaza unakuta muuza dafu kila ukiuliza dafu anajifanya anatafuta Kwa kugonga gonga...wakati hayo madafu kashinda nayo toka asubuhi...
Ule ni usanii wanafanya
Heheheh. Ngoja niombe ruhusa basi nije “shuleni”Nazi naijua kwa uzito wake(dafu ni zito kuliko nazi), na kuipiga kuna mlio wake hapa unajua hii nazi imekomaa. Na kwa kutizama tu unajua hii imekomaa hii bado vizuri
(Expirience tu)
Njoo huku, uhamie kwangu wiki tu utakuwa umezijua.😂
Vingine tunaagiza mkoani mtu/konda anakuja navyo tunafata shekilango 🤣Basi mimi nikajua humu ndani wote wa kishua na shopping za makulaji ni shoppers na mlimani city..Kumbe wenzetu wa magengeni na masokon tuko pamoja hapa
Hata wanawake wenye akili kama zako wapo wengi humu,na wanaliwa sana.Basi mimi nikajua humu ndani wote wa kishua na shopping za makulaji ni shoppers na mlimani city..Kumbe wenzetu wa magengeni na masokon tuko pamoja hapa
😂😂😂Basi mimi nikajua humu ndani wote wa kishua na shopping za makulaji ni shoppers na mlimani city..Kumbe wenzetu wa magengeni na masokon tuko pamoja hapa
Okay..Umefurahi sasa?Hata wanawake wenye akili kama zako wapo wengi humu,na wanaliwa sana.
Karibu saana, utatoka umeiva.Heheheh. Ngoja niombe ruhusa basi nije “shuleni”
Kumbe tuliosoma CUBA tumeshaelewa. 😅He!!🤣🤣🤣🤣