CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.
Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.
Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???
Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!
Kwa hisani ya CL.......
hahahha wewe kwani hao wanaotafuta wachumba hapa unadhani kweli wanataka kuoa...wengi wao wanataka migegedo dada yangu. ndio maana physical attributes ndio muhimu nothing else. lol
sasa mtu akiandika sifa atakazo aweke na tabia? kuna mtu kweli atakubali kuwa ana tabia mbaya??
me naamini tabia nzuri inaonekana unapokuwa au kukutana na mtu!! huwezi jua tabia ya mtu bila kuwa naye!!
KITU CHA KWANZA kinachomvutia mwanamke kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke ni UMBO LA NJE, nasema KITU CHA KWANZA, kinaweza kuwa rangi, urefu, ufupi nk, hivyo ndio vitu vinavyomsogeza mtu kujua tabia za amtakaye
hao wanawake wazuri wa tabia siku hizi sijui kipimo chao ni nini,,,,,,,,,,,,
Achana nao cl
wazushi tu watu wa humu..mifupa iliyomshinda fisi wewe binadamu utaiwezea wapi?
Mimi Nadhani Hakuna Mtaa Unaitwa JF Hao Mnaopishana Wanafyonza,Kiburi,No Huruma Kila Siku Ndo Haohao Wako Humu.Take Care
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.
Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.
Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???
Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!
Kwa hisani ya CL.......
Mh haya, halafu niko kwenu hapa mkuu charminglady
Ni kweli lakiniiiii.... Wanapoweka vigezo vya umbo la nje walio serious na hawana vigezo wanakosa hiyo bahati!!!
Heee.... kumbe hujui kupima tabiaaa????