CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.
Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.
Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???
Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!
Kwa hisani ya CL.......