Huwa najaribu kufikiria hili.....!!!!!

Huwa najaribu kufikiria hili.....!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.

Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.

Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???

Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!

Kwa hisani ya CL.......
 
hahahha wewe kwani hao wanaotafuta wachumba hapa unadhani kweli wanataka kuoa...wengi wao wanataka migegedo dada yangu. ndio maana physical attributes ndio muhimu nothing else. lol
 
sasa mtu akiandika sifa atakazo aweke na tabia? kuna mtu kweli atakubali kuwa ana tabia mbaya??

me naamini tabia nzuri inaonekana unapokuwa au kukutana na mtu!! huwezi jua tabia ya mtu bila kuwa naye!!
 
Sidhani kama kuna u-serious wowote,maana hata mtu angesema namtaka mwenye tabia njema je mtu atajieleza tabia zake za kweli?
Sidhani kama kuna mtu serious
 
Sakata, ndoa nyingi zinasambaratika kwasababu watafutaji na watafutwaji wote wana tabia chafu.. But mahusiano yenye tabia njema hudumu.
Pia sipati picha watu kutafuta wake/waume humuu, huko mtaani, ofisi, kanisani/msikitini, shuleni hakupataga tu? so hii ina inaonyesha watafutaji wa humu wana matatizo
 
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.

Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.

Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???

Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!

Kwa hisani ya CL.......

KITU CHA KWANZA kinachomvutia mwanamke kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke ni UMBO LA NJE, nasema KITU CHA KWANZA, kinaweza kuwa rangi, urefu, ufupi nk, hivyo ndio vitu vinavyomsogeza mtu kujua tabia za amtakaye
 
hahahha wewe kwani hao wanaotafuta wachumba hapa unadhani kweli wanataka kuoa...wengi wao wanataka migegedo dada yangu. ndio maana physical attributes ndio muhimu nothing else. lol

Alaaaaa.... Kumbe!!! Sikuwa najua hili!!"
 
sasa mtu akiandika sifa atakazo aweke na tabia? kuna mtu kweli atakubali kuwa ana tabia mbaya??

me naamini tabia nzuri inaonekana unapokuwa au kukutana na mtu!! huwezi jua tabia ya mtu bila kuwa naye!!

Ni kweli usemayo, ila wapunguze vigezo vya kipuuzi.... Mara mwenye hips kubwa, mara mwenye chuchu saa sita!!! Mara mwenye degree!!!

Kwan hizo ni sifa za muda tu ambazo zinaweza kutoweka wakati wowote na pia sifa ya elimu sio kabisa... Elimu sio maisha!!!
 
hao wanawake wazuri wa tabia siku hizi sijui kipimo chao ni nini,,,,,,,,,,,,
 
KITU CHA KWANZA kinachomvutia mwanamke kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke ni UMBO LA NJE, nasema KITU CHA KWANZA, kinaweza kuwa rangi, urefu, ufupi nk, hivyo ndio vitu vinavyomsogeza mtu kujua tabia za amtakaye

Ni kweli lakiniiiii.... Wanapoweka vigezo vya umbo la nje walio serious na hawana vigezo wanakosa hiyo bahati!!!
 
Achana nao cl
wazushi tu watu wa humu..mifupa iliyomshinda fisi wewe binadamu utaiwezea wapi?
 
Mimi Nadhani Hakuna Mtaa Unaitwa JF Hao Mnaopishana Wanafyonza,Kiburi,No Huruma Kila Siku Ndo Haohao Wako Humu.Take Care
 
Habari zenyu wana Love Connect!!!!
Nimepitia baadhi ya thread katika hili jukwaa, especially za kutafuta mwenzi / wachumba.

Nilichogundua ni kwamba ule msemo kuwa "Uzuri wa mwanamke tabia" hauapply siku hizi. Wanaume wengi wanatafuta uzuri wa nje, mara oooh awe mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene, mwembamba n.k.

Mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo wanazozitaka kaka zetu hapa, swali je akiwa na sifa hizo lakini akawa na tabia mbaya itakuwaje???

Ushauri wangu kwenu watafutaji wenzi / wachumba msibase sana katika external appearance, itakula kwenu mwisho wa siku mnarudi hapahapa kuja kulalamika!!!!

Kwa hisani ya CL.......

Mh haya, halafu niko kwenu hapa mkuu charminglady
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli lakiniiiii.... Wanapoweka vigezo vya umbo la nje walio serious na hawana vigezo wanakosa hiyo bahati!!!

Hapana, hawawezi kukosa hiyo bahati, unajua ukitoa hiyo physical appearances, ambayo ndio ina ma-morphology yale ma curve, Rangi, na vitu vingine ,................ KITU CHA PILI SASA ni ukaribu wa mtu na mtu, hata kama mtu huvutiwi na mtu (physically) lakini ukaribu unakupa picha ya halisi ya muhusika, ukiwa karibu sana na mtu say Kikazi, Kiimani, Ki huduma za kijamii nk hapo ndio unaweza kujua innerside ya mtu, hivyo basi hata hao wasio na Hizo Curves huwa wanaolewa tena sana tu
 
Back
Top Bottom