Huwa najiuliza ni msanii gani anaweza kufanya hili

Huwa najiuliza ni msanii gani anaweza kufanya hili

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿

Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole?

Sio kwamba hawapo ila wote ni machawa, wote wako insecure kukosa ugali wao, kutekwa, kuwa wamfano.

It's not that hatuko free kuongea tunacho taka, ila mfumo uliopo hautulindi kufanya hilo, wasanii wetu tunaweza kuwalaumu sana ila wapo pia wanafamilia zinawaangalia, essentially kuna wengine ni machawa by nature ila wengi wao ni wanafanya kwa nidhamu ya Uoga.

Jamaa huyo saiz kila mtu anasema yuko kwenye radar, ila mm namchukulia kama lissu kibongo bongo yaani amesacrifice safety yake kwa ajili ya wengi wapelistina walio uwawa.
 
Back
Top Bottom