Huwa najiuliza sana tu kama Mzee Mpili akiwa Mzee hivi anaonekana ni Mtata, je, enzi zake akiwa Kijana alikuwaje?

Ni Mzee ambaye pamoja na kuwa ni mwana Yanga SC na Mimi kuwa mwana Simba SC ila huwa ananichekesha mno.
Ukiwa cheki enz ya ujana wake yaweza kuta alikuwa mpole sana ila kufkisha 68 above alaf unapanga una maisha yakueleweka haloo lazma ujizme data ndyo maana mm vizeee vya miaka izo sbishani nao vinakuwa vimevurugwa na maisha
 
Kuna Clip moja hivi nimeiona akiwa anawapa Watu makavu kwa Matusi ya uhakika huku pia akiwatishia Kuwabandua.
 
Back
Top Bottom