Aisee!! kweli tunatofautiana sana,upande wangu nikiona counter kuna mwanamme sikai,ila akiwa mrembo tena ana chura huwa nakaa na kunywa bia hadi kuzidisha idadi niliyopanga kabla sijafika(navuka bajeti).Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Hahahaaa. Tumetofautiana sana mkuu. Ila inajua hotel nyingi kwenye bar zao wahudumu ni wanaume?Aisee!! kweli tunatifautiana sana,upande wangu nikiona counter kuna mwanamme sikai,ila akiwa membo tena ana chura huwa nakaa na kunywa bia hadi kuzidisha idadi niliyopanga kabla sijafika(navuka bajeti).
Hilo ni kweli,hotel nyingi wahudumu wa bar ni wanaume.Huwa nina tabia ya kutokunywa bia kwenye hotel niliyofikia,nipo radhi niende bar ya nje ya hiyo hotel niliyofikia kuliko kunywa kwenye bar zao.Hahahaaa. Tumetofautiana sana mkuu. Ila inajua hotel nyingi kwenye bar zao wahudumu ni wanaume?
HapanaUsibadilishe maana mkuu
Naangalia Avatar yako na post yako haviendani kamwe.Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Wengi mnao nywea kaunta ni "WACHOYO"ππBar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Walevi Tutawajua Tu LeoWengi mnao nywea kaunta ni "WACHOYO"ππ
hahahaahahah, mie kweli ni mnywaji tena wa bila kifichoWalevi Tutawajua Tu Leo