Huwa napenda sana bar counter zenye wahudumu wa kiume.

Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.

Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Mmh mimi huwa nawaona kama wamekaa kimbeambea hivi.... Katibu mrangi naomba maoni yako
 
Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.

Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Bwana mdogo siku ukija Mbeya unitafute. Kama nikiwepo ntakupeleka sehemu fulani hivi huwa tunakaa wanachama wa The Rotary Club tunabadilishana mawazo, nyama choma, vinywaji.
 
Back
Top Bottom