masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Usigechagia hapa mmhhhhWengi mnao nywea kaunta ni "WACHOYO"🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usigechagia hapa mmhhhhWengi mnao nywea kaunta ni "WACHOYO"🙄🙄
Ningechangia wapi?!!!!Usigechagia hapa mmhhhh
Mmh mimi huwa nawaona kama wamekaa kimbeambea hivi.... Katibu mrangi naomba maoni yakoBar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi
Nimejikuta Nakuogopa😀😀😀hahahaahahah, mie kweli ni mnywaji tena wa bila kificho
cc: Behaviourist HAHAHAHAHAHAHAH
Usigechagia hapa mmhhhh
Bwana mdogo siku ukija Mbeya unitafute. Kama nikiwepo ntakupeleka sehemu fulani hivi huwa tunakaa wanachama wa The Rotary Club tunabadilishana mawazo, nyama choma, vinywaji.Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.