Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa kaunta, Tulikuwa tunajazana jamaa kibao kutoka mbali sana. Tunapiga pombe, stori, michongo na offer. Hadi ukikosa unahisi kuna kitu umekosa. Sijui kwanini watu wengi huweka counter wanawake, kaunta wa kiume safi sana.
Mshana Jr mrangi