Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote.

Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza..

Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume.

Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
 
Kuna gharama yake
Mke/ mme sio matango poli utayakuta popote
 
Back
Top Bottom