Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Drake labda ana uraibu wa porn sababu hadi alishawai kuwa na mahusiano na pornstar, inasemekana alushauriwa hvo ili kukata hio addiction. Ukizingatia nyeto na porn ni ndugu wa baba mmojaKama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K.
Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto.
Juzi imevuja clip ya Drake, anapiga nyeto. Yule ni Drake, ana uwezo wa kupata demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto.
K ina utamu wake na nyeto ina utamu wa tofauti.🤪