Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Sasa unataka kulazmisha kujaza arena ndio ktu gan ww.... Ebu nikuulze swal kiba ma mond yupi anamzk mzur
Akikijibu nitag mkuu😂😂 nilichonotice humu wengi hawajawahi kusikiliza ngoma za ferre gola na si ajabu hawamjui wao wanamjua fally ipupa tuu, damn.
 
Sijaanza kumsikiliza zamani Fally Ipupa, ni 2016 tu hapo lakini huniambii kitu kuhusu yeye aisee, mwamba anakipaji sana. I made a promise to myself that, next show ya Fally DSM nikiwa hai lazima nitaingia ukumbini hata iwe gharama kiasi gani.
 
Kuna ngoma inaitwa Formule 7,nyingine kamshirikisha Charlotte Dipanda Fally anajua

Sikiliza Album hii ya Formule 7,
 
Kuna namna Fally ananikosha... naweza msikiliza siku nzima

Hiyo 100kilos kama sijaielewa kiviile
 

Attachments

  • Screenshot_20231220_142544_Spotify.jpg
    Screenshot_20231220_142544_Spotify.jpg
    135.6 KB · Views: 6
Felle na Fally wanaimba fani mbili tofauti fally anapiga sebene ferre anapiga rhumba
 
Kuwa superstar na kupendwa sio kigezo cha kua msanii bora kuliko wengine hata burnaboy alijaza arena lakini sio msanii bora kuliko wote naigeria, diamond ni superstar bongo lakini sio msanii bora kuliko wote Tz kuna watu wanavipaji kuliko yeye wengi tuu, fally ipupa ana funbase kubwa duniani kuliko ferre gola ila hamzidi ferre gola kwa ubora, maisha haya na bahati hua inachangia.
Hakuna msanii yoyote wa rhumba duniani amewahi kumfikia streams milion 45 Spotify.


Kula Chuma Hicho.



Endelea kushupaza shingo tu.
Screenshot_20231222-070532.jpg
 
Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.


Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji
Hivi unazijua hizi nyimbo?
Insuline
Kinshasa
Eclipse
Zazou
Pakadjuma

Tafuta kwanza hizo sikiliza halafu urudi hapa.
 
Back
Top Bottom