Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Screenshot_20231209-150137.jpg
huyu fally Ipua ndo msanii bora kwangu kwa 2023. Kila nikioata Kvant yangu haichanganyi kichwani bila kupata ngoma za huyu bwana.
Hasa hiyo Mayday kmmk huwa nachanganyikiwa kabisa.

Lakini pia kupitia hii thread nasikiliza hizo ngoma mbili za feregolla hiyo 100 kilo na kamasutra.. Nazo ni kali sana tu.

Sinaga ushindani kwenye music watoe mangoma tu mimi nitayasikiliza.

Ila usiwe huu usenge wanaotumbia wabongo wanauita amapiano aise.. Ni kelele tu na hazina maana yeyote!!!!
 
100kilos
Monotonie
Marathon
Vita imana
Pigeon voyageur
Visas
Heritier du trone
Oza
Liberte
Mere chef
Enyindaka mabe
Poisson d'avril

Anza kusikiliza kwanza hizo utabadili baadhi ya mawazo yako
Asante kwa playlist.
 
Back
Top Bottom