Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Akikijibu nitag mkuu😂😂 nilichonotice humu wengi hawajawahi kusikiliza ngoma za ferre gola na si ajabu hawamjui wao wanamjua fally ipupa tuu, damn.Sasa unataka kulazmisha kujaza arena ndio ktu gan ww.... Ebu nikuulze swal kiba ma mond yupi anamzk mzur
Hiyo alliance ni balaa aiseeAchana na wimbo huo mmoja tu wa mazingaombwe mkuu,sasa ukisema 100 kilos na Ambao tunaujua ASSOCIE tusemeje!
Hivi unaujua ALLIANCE,MAYDAY au MARIA?
100 Kilos ikipigwa Bar ushapiga vijiti vyako Jagérmeister kashakaa kichwani hapatoshi
Weka 100 Kilos
Kuna ngoma inaitwa Formule 7,nyingine kamshirikisha Charlotte Dipanda Fally anajua
Sikiliza Album hii ya Formule 7,
Binadamu wa kwanza duniani ambaye hajaielewa 100kilos, wonders shall never end.Kuna namna Fally ananikosha... naweza msikiliza siku nzima
Hiyo 100kilos kama sijaielewa kiviile
Kwani lazima wote tuwe na taste sawa????Binadamu wa kwanza duniani ambaye hajaielewa 100kilos, wonders shall never end.
Hapana mkuu upo sawa.Kwani lazima wote tuwe na taste sawa????
Hapo weka Pon Moun Paka Bouge
Balaaa mkuu kipindi hichoHapo weka Pon Moun Paka Bouge
Mkuu umemaliza kila kitu.Felle na Fally wanaimba fani mbili tofauti fally anapiga sebene ferre anapiga rhumba
Mkuu wengi hawamjui ferre gola ndio maana hawalitambui hili.Fere ni mfalme wa Rhumba ya kiSasa Congo hana mpinzani.
Hakuna msanii yoyote wa rhumba duniani amewahi kumfikia streams milion 45 Spotify.Kuwa superstar na kupendwa sio kigezo cha kua msanii bora kuliko wengine hata burnaboy alijaza arena lakini sio msanii bora kuliko wote naigeria, diamond ni superstar bongo lakini sio msanii bora kuliko wote Tz kuna watu wanavipaji kuliko yeye wengi tuu, fally ipupa ana funbase kubwa duniani kuliko ferre gola ila hamzidi ferre gola kwa ubora, maisha haya na bahati hua inachangia.
Kwahiyo hapa topic ni ni kiba na mondiSasa unataka kulazmisha kujaza arena ndio ktu gan ww.... Ebu nikuulze swal kiba ma mond yupi anamzk mzur
Hivi unazijua hizi nyimbo?Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.
Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji