GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nani alifaa awepo kwenye press?Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.
Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya moja Kubwa ya Nuksi / Nyota Nyeusi.
Otherwise kila la kheri Simba SC leo.
Mawazo ya mauchawichawiNi Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.
Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya moja Kubwa ya Nuksi / Nyota Nyeusi.
Otherwise kila la kheri Simba SC leo.
Wasio na Historia ya Nuksi kama Saido Ntibanzokinza, Clatous Chama na Mohammed Hussein Tshabalala ambaye leo ndiyo anabeba Mzigo wote wa Babu kutoka Zanzibar. Sitaki Swali lingine tafadhali.Nani alifaa awepo kwenye press?
Mlikuwa mnakosea kumpa left footer mzigo wa Babu huko nyuma . Mguu wa kushoto ni mguu mtakatifu . Mzigo wa Babu muwe mnawapa wanaotumia mguu wa kulia kucheza mpira .Wasio na Historia ya Nuksi kama Saido Ntibanzokinza, Clatous Chama na Mohammed Hussein Tshabalala ambaye leo ndiyo anabeba Mzigo wote wa Babu kutoka Zanzibar. Sitaki Swali lingine tafadhali.
Huwezi kumchukia Kapombe Kwa uungwana wake.RESPECT mkuu,kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hiki sio vema,Mr. Kapombe ni gentleman sana,down to earth guy,ngoja ni share na wewe siri moja,baada ya Kapombe kuumia kwenye mazoezi na Taifa stars pale Bloemfontein (career threatening one),ni watanzania regardless ya upenzi wa timu yao ndio walishirikiana to make sure mchezaji huyu anatibiwa na kupata confidence ya kucheza tena mpira kwa kiwango cha juu,Kapombe hana nuksi yeyote ni mtu safi sana ,binafsi namjua mno,kila na heri Simba ingawa sio shabiki
Wakiongozwa nawe Kichaa Mkuu na Uncircumcised Baboon.
Uko sahihi kapombe mtu sana tena mstaraabu na mchapakazi hasa yeye zimbwe na boccoRESPECT mkuu,kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hiki sio vema,Mr. Kapombe ni gentleman sana,down to earth guy,ngoja ni share na wewe siri moja,baada ya Kapombe kuumia kwenye mazoezi na Taifa stars pale Bloemfontein (career threatening one),ni watanzania regardless ya upenzi wa timu yao ndio walishirikiana to make sure mchezaji huyu anatibiwa na kupata confidence ya kucheza tena mpira kwa kiwango cha juu,Kapombe hana nuksi yeyote ni mtu safi sana ,binafsi namjua mno,kila na heri Simba ingawa sio shabiki
Boko...Nani alifaa awepo kwenye press?
oh kumbe,ila kwa upande wa yanga sina imani tunafungwaNi Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.
Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya moja Kubwa ya Nuksi / Nyota Nyeusi.
Otherwise kila la kheri Simba SC leo.