Kingvictor87
Member
- May 31, 2011
- 83
- 42
Hujambo Mrembo?
hivi unajua Sasha ni kifupi ya Natasha?
Nchi za watu ukiitwa Sasha wanajua jina lako kamili ni Natasha....
jaribu kuwasiliana na kamati ya olympic tanzania ili tuje na medali kwenye mashindano yajayo ya kuogelea mkuuheee we ndugu wee huwa unaogelea
Basi Waziri Sonyo...atakufaaa
Mie nna kismat na mawaziri, Yani Mpaka najiuliza ivi ni kazi yangu nnayo fanya au hashuo Lao tuu, tena ukiwambia nimeolewa au Wakuone Na mimba Ndio zawadi usiseme...
Nina kismati Na .....
jaribu kuwasiliana na kamati ya olympic tanzania ili tuje na medali kwenye mashindano yajayo ya kuogelea mkuu
Mmmmmmm, the Boss huyo apana..
Du wanaume maskini ndio wangu, wenye hela hata siku moja, mhhhh! lakini hao ndio type yangu,
Kwa sababu nimeulizwa, sijisifii na wala sio muhuni ila huwa nikionesha nia napata mwanamke yoyote yule ninaemtaka.