Huwa una kismati na wanawake wa aina gani?

nina kismati na wale wa kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema [emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nimecheka had machozi yananitoka hahahaha
Wanaume tunajijua sisi hahahaha
 
Nimeona baby wako akisema anakismat na wanawake warefu ,ukamuuliza hadi wewe ?akaanza kujitetea
That all Mrs Smart
Haaaa na Smart911 wangu tunajuana wenyewe home huwa napenda kumtania sana my Smart911 ananikimbiza akinikamata ananichapa fimbo mwenyewe nafurahiiii

Hata hivo nishasemaga hata nimfumanie laivu ndokwanzaaa namwambia nakupenda sana my smart nakupenda mnooooo

Online namzevezaga sana mbona akaa badae offline adhabu yangu naipata tunacheka kweli wenyewe na baby wake namie Smart911
 
I will do anything for you mahondaw wangu... But i wont do that...
 
Kama ikatokea umenikuta red handed doing other woman...

Join for a threesome...
 
Wa kila aina kasoro machangu doa sina kismati nao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…