jibu zuri sawasawa na avator yakoJust a minute..ngoja nikaulize
Kuna shida ilikuwa imejiri hapa ofisini lakini nilipo soma huu uzi stress zote kule, nimechekaje?
ndo maana ikaitwa stress free zone!!!!!
..kwani huwa unampaga..?
Nimekubali ila ni kaugonjwa tene, mida mingine waweza kusahau kufanya kazi
Kapi hako tena?bora wewe... mi huwa nahisi kukereketwa na na kitu flani!!!!
SI nilikuwa bafguni ndo hilo wazo likaniji!ahahahhahaah mi huwa naanzia panapokolea sabuni kwa harakaMie huwa naanzia kunako KINASIO.
Tena hili swali limenifanya nicheke maana hata nilikuwa sizingatii kuwa huwa naanziaga wapi kupata sabuni lakini baada ya kuvuta kumbukumbu, nikakumbuka
Bibi wewe, hivi ulikuwa unawaza nini?
ahahahahhahhah sipati picha mtu aanzie kupaka sabuni kwenye kichwaaaaaa!lol
mjibu hapa!
SI nilikuwa bafguni ndo hilo wazo likaniji!ahahahhahaah mi huwa naanzia panapokolea sabuni kwa haraka
....kichwa kipi..sasa..?
kichwa kipi.....
kinaliwa eeh......kwani wewe hujawahi kula papa.....?
Nimekubali ila ni kaugonjwa tene, mida mingine waweza kusahau kufanya kazi
kichwaaaa, makwapaaa, kiunooooo, miguuuu.... naaa naaa naa naniliu....