huwa unaanzia wapi kupaka sabuni ukiingia kuoga!?

huwa unaanzia wapi kupaka sabuni ukiingia kuoga!?

kuoga.jpg

Erickb52 kumbe ndo huwa unaanzia hapo kupaka sabuni eeeeeehhhh!!!!!!

Kuna shida ilikuwa imejiri hapa ofisini lakini nilipo soma huu uzi stress zote kule, nimechekaje?
 
Mie huwa naanzia kunako KINASIO.

Tena hili swali limenifanya nicheke maana hata nilikuwa sizingatii kuwa huwa naanziaga wapi kupata sabuni lakini baada ya kuvuta kumbukumbu, nikakumbuka

Bibi wewe, hivi ulikuwa unawaza nini?
 
SI nilikuwa bafguni ndo hilo wazo likaniji!ahahahhahaah mi huwa naanzia panapokolea sabuni kwa haraka
 
Back
Top Bottom