Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usingizi hasara!Duh watu mnapata wapi mda wa kulala?
Ahahahah. Pole sana mkuu. Kulala ni kwa mujibu wa afya ya mwili na akili, hakikisha unatafuta hata kwa kufosi, angalau upate masaa japo ma 4 ya kulala kila siku. Ni hatari kutolala.Duh watu mnapata wapi mda wa kulala?
Pesa ni pesa ilhali ina chapa ya serikali kwa matumizi halali sokoni, hiyo ina qualify kuitwa pesa. Namaanisha hata 500 ukimiliki, bas unasifa ya kuitwa mwenye pesa. Japo itakuja tofaut tu kwamba , kuna mwenye pesa nyingi na mwenye pesa kidogo.Ukiwa na pesa? Pesa zipi? Mshahara nayo ni pesa?
Mimi huwa nikiwa naingia kazini asbh ndo usingizi unajifanya kama una addiction..... Nikiwa off saa 10 usiku ushakata..
🤣🤣🤣KumbeHela inawasha unaomba kukuche ukatumbue 😀 😀 .
Ahahah. Mkuu mbona hata kusipokucha pesa unaitumbua tu vizuri 😂Hela inawasha unaomba kukuche ukatumbue 😀 😀 .
Eheeee yaani ni hatari.🤣🤣🤣Kumbe
Ahahah. Mkuu mbona hata kusipokucha pesa unaitumbua tu vizuri 😂